Misikiti inapopewa vibali na kujengwa jirani na makanisa

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Jambo hili linanishangaza sana, Serikali inajua kwamba waislamu wanatafuta ugomvi wanapokuja kujenga karibu na makanisa lakini wanawaruhisu kufanya hivyo. Kuna mifano mingi tu ktk mitaa yetu, utakuta kanisa lilikuwa mahali siku nyingi na baadae jamaa hawa wanakuja na kuanza kujenga jirani kabisa na kanisa na serikali zinawaruhusu wakati wanajua kwamba hawa wanatafuta uchokozi.

Pale Kariakoo bondeni baada ya klabu ya Yanga kuna kanisa limejengwa siku nyingi tu, lakini mwaka mmoja uliopita waislamu wakaanza kujenga msikiti hapa na hapa kabisa! Uongozi wa lile kanisa ulijaribu kupita huku na huko kuomba msaada ili jamaa wasijenge pale kuepusha shari huko mbele lkn walishindwa. Serikali ya Mtaa, mpaka kwa Mkuu wa Wilaya jamaa walikwenda lakolini nao hawakuweza kuwastopisha waislamu kujenga pale.

Mimi naona ni mkakati wa waislamu kuwafuata wakrito kwa karibu, na bila shaka wanapaya sapoti kutoka juu bila kujali madhara yake.

Kwa nini wanapenda kujenga misikiti karibu sana na makanisa? Kwa nini Serikali inaruhusu hili huku wakijua kwamba hawa jamaa ni wachokozi, sio wavumilivu, Mungu wao anaruhusu kuua kwa kisingizio cha kutetea imani?

KWA KWELI NCHI YETU INAHARIBIWA NA VIONGOZI
 
Linaonekana kuwa jambo dogo lakini ni hatari sana. Hakuna kufuata sheria nchi hii.
 
Thread yako ni ya ki comedy kama Avatar yako. Ulitaka ikajengwe mapolini? Mskiti kama lilivyo kanisa,shule, hospital ni huduma za kijamii so lazima iwe karibu na jamii.... Comedian
 
Jambo hili linanishangaza sana, Serikali inajua kwamba waislamu wanatafuta ugomvi wanapokuja kujenga karibu na makanisa lakini wanawaruhisu kufanya hivyo. Kuna mifano mingi tu ktk mitaa yetu, utakuta kanisa lilikuwa mahali siku nyingi na baadae jamaa hawa wanakuja na kuanza kujenga jirani kabisa na kanisa na serikali zinawaruhusu wakati wanajua kwamba hawa wanatafuta uchokozi.

Pale Kariakoo bondeni baada ya klabu ya Yanga kuna kanisa limejengwa siku nyingi tu, lakini mwaka mmoja uliopita waislamu wakaanza kujenga msikiti hapa na hapa kabisa! Uongozi wa lile kanisa ulijaribu kupita huku na huko kuomba msaada ili jamaa wasijenge pale kuepusha shari huko mbele lkn walishindwa. Serikali ya Mtaa, mpaka kwa Mkuu wa Wilaya jamaa walikwenda lakolini nao hawakuweza kuwastopisha waislamu kujenga pale.
Mimi naona ni mkakati wa waislamu kuwafuata wakrito kwa karibu, na bila shaka wanapaya sapoti kutoka juu bila kujali madhara yake.
Kwa nini wanapenda kujenga misikiti karibu sana na makanisa? Kwa nini Serikali inaruhusu hili huku wakijua kwamba hawa jamaa ni wachokozi, sio wavumilivu, Mungu wao anaruhusu kuua kwa kisingizio cha kutetea imani?

KWA KWELI NCHI YETU INAHARIBIWA NA VIONGOZI
Ama kweli mlizoeshwa vibaya na Nyerere! nani kama sio Wakristo wenye mkakati wa kuwafuata Waislamu? Kariakoo ni ya akina nani?
Umesahau juzi tu Bagamoyo mlipotumwa kupima upepo kwa kumzika maiti wenu katika makaburi ya Waislamu?...unajuwa kinachoendelea sasa hivi Zanzibar, Mtwara, Tanga, Lindi, Kigoma, Tabora, Singida na kwengineko?
 
Muhimbili hospital kuna msikiti,sipingi kuwapo kwa msikiti! ushauri wangu waondoe loud speakers ili wagonjwa wasipigiwe kelele hasa wale wenye pressure!
 
Aiseee! Kumbe kariakoo ni ya waislamu? Hiyo hati miliki ya kuwa mikoa fulani ni ya watu fulani tu imetolewa lini?
 
Kule Mbeya maeneo ya Soweto kuna eneo Msikiti upo katikati ya Makanisa mawili,moja la kilokore na lingine la Anglican,kikubwa zaidi wanatenganishwa na fensi za ukuta kwa hali hii tuliyopo tuombe Mungu amani iendelee kudumu
 
Linaonekana kuwa jambo dogo lakini ni hatari sana. Hakuna kufuata sheria nchi hii.

Ulifikiri kabla kuandika, na uliisoma baada ya kuandika? Kama ungefanya hivyo nahisi ungei delete.
Yaani hiyo topic unkufanya uonekane kama MTU uiechanganyikiwa kwa udini.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Muhimbili hospital kuna msikiti,sipingi kuwapo kwa msikiti! ushauri wangu waondoe loud speakers ili wagonjwa wasipigiwe kelele hasa wale wenye pressure!

Loud Speaker kwani imekua simu?
Nazo kengele ziondolewe pia ili wagonjwa wasipigiwe kelele hasa wale wenye pressure.
 
Kama wakristo wangekuwa na roho za visasi nchi ingeingia katika machafuko. Mfano fuatilia mihadhara ya wasilamu wanapomtukana Yesu, hakuna mkristo anayechoma moto msikiti. Kuna mhadhara mmoja msilamu alikanyaga biblia, lakini who cared. Kwa nini ni kwa sababu Mungu wa WA-KRISTO ana nguvu, mamlaka na uwezo wa kujipigania mwenyewe, ndiyo maana ya kukubali kufa ili afufuke. Tumsifu BWANA WA MAJESHI milele na milele. Ukiona mungu anatetewa ujue.....
 
KAnisa la kipunguni B lilijengwa toka zamani sasa juzi juzi waislama wakawa wanataka kununua kiwanja cha pembeni ili wajenge msikiti .. Mungu mkubwa tukawashindwa kwa dau kuwa wakashindwa kukulinunua kwa umaskini wao ..sisi hadi sasa hivi tunachangishana ili kumalizia deni
 
Muhimbili hospital kuna msikiti,sipingi kuwapo kwa msikiti! ushauri wangu waondoe loud speakers ili wagonjwa wasipigiwe kelele hasa wale wenye pressure!

............hii apelekewe warioba aingize katika katiba mpya ! pia ihusishe kupiga muziki na kengele !:A S-coffee:
 
Ama kweli mlizoeshwa vibaya na Nyerere! nani kama sio Wakristo wenye mkakati wa kuwafuata Waislamu? Kariakoo ni ya akina nani?
Umesahau juzi tu Bagamoyo mlipotumwa kupima upepo kwa kumzika maiti wenu katika makaburi ya Waislamu?...unajuwa kinachoendelea sasa hivi Zanzibar, Mtwara, Tanga, Lindi, Kigoma, Tabora, Singida na kwengineko?

duh wew unafikiriaga kwa kutumia nii,eti bila aibu et kariakoo ni ya kina nani,...unataka kuipa udini hahaa,beta useme ni ya wafanyabiashara wa pande za kaskazini,
 
Tatizo sio misikiti wala makanisa,tatizo ni nyie binadam wenye roho mbaya kufa hamtaki
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom