mtu watu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,123
- 1,615
Aliyekufa kafa, kuendlea kudai ni kuwapa mzigo ndgu na jamaa.ok sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekufa kafa, kuendlea kudai ni kuwapa mzigo ndgu na jamaa.ok sawa
Yeap! Bora upotezee tu though Marehem Hakuomba afe.Aliyekufa kafa, kuendlea kudai ni kuwapa mzigo ndgu na jamaa.
Yeap! Bora upotezee tu though Marehem Hakuomba afe.Aliyekufa kafa, kuendlea kudai ni kuwapa mzigo ndgu na jamaa.
Team kubwa ya mpira kule Japan inaitwa KumamotoLimetulia tu mkuu kama lile la Matombo kule Morogoro na kule Mwanza kuna kijiji kinaitwa Kitombe. Kambi kubwa ya wakimbizi kule Kenya inaitwa Kakuma.
Hata mimi sijawahi....Humu kila mtu atasema hajawahii
Ila mi mwenyewe sijawahi kweli
Kabanga mim na wewe hatujawahiHata mimi sijawahi....
Hebu fanya mpango tuwahi Mama SabrinaKabanga mim na wewe hatujawahi
Sawa tuwe na vidhibitishoHebu fanya mpango tuwahi Mama Sabrina
Ndio cha msingi,tuweke alama....Sawa tuwe na vidhibitisho
Hakuna atakaekataa kua kitendo cha Mtu kutokwa na uhai ni tukio lakuhuzunisha sana, nahakuna anaeombea hilo.Haileti picha nzuri kusimama na kesema namdai marehemu. lazima uwe na moyo wa ujasili sana kufanya ilo tukio hafifu. Unless liwe deni kubwa kama ni milioni 10 sema milioni 5 hiyo 5 ni kama rambi rambi.
Tusinye misiba ni mahali pa kupatia kipato.
P O I N THakuna atakaekataa kua kitendo cha Mtu kutokwa na uhai ni tukio lakuhuzunisha sana, nahakuna anaeombea hilo.
Tukija kwenye mtazamo wa kudai au kudaiwa hapa lazima kutakua na utofauti wa mitazamo.
Unaweza kuta kuna pesa uliikopesha kwa marehemu na nyingi kiasi uliokua na mipango nayo na amekuahidi kuirudisha siku flani,
pamoja na kutokea kwa msiba lakini mazingira yanaonesha kua kunauwezekano wa kuipata ile fedha kutokana na hali za wafiwa zinavyoonesha,amini mimi nitaidai ili nifanikishe makusudio yangu,maisha nilazima yaendelee.
Kudai pesa kwa marehemu kunategemea na mazingira halisi yaliyopo ya uliekopesha na aliekopeshwa,kuacha kudai pesa huku ukisononeka moyoni ilhali kulikua na uwezekano wakulipwa ni kujitesa mwenyewe.
Nivizuri zaidi kusamehe madeni ya marehemu bila kinyongo ili kupata thawabu kutoka kwa Muumba.
Wanauliza hilo swali na pia wanaeleza baadae utawaona ndugu wa marehemu kwa anayedai na kudaiwaNafikiri hilo ni kosa walipaswa kuwaelekeza wanaodai au kudaiwa na marehemu kuwana viongozi wa familia kwaajili ya kulipa au kulipwa kwa ushahidi kama lazima ingawa katika maisha ya kibongo pesa huwa tunakopeshana kwa kuaminiana huwa hatusaini mikataba hivyo unayemdai akifa inakuwa shida sana kupata haki yako lakini wakati mwingine unaingiwa na huruma hasa kwakuwa mlishibana na marehemu hivyo unaona si vema kuwadai wafiwa hasa kwakuwa hali za kiuchumi za familia zetu tunazijua ni dhoofu na hapo kama alikukopesha ni vizuri kulipa kuisaidia familia
Hayo mambo yanajadiliwa kwenye kikao cha ukoo baada ya mazishi, sio makaburini
Exactly na hii ndio wa Tanzania tulivyo, hata uwe na umasikini kiasi gani ile situation ya kwamba jamaa ameshakufa inakupa simanzi unaamua kusamehe tu ukiamini unapata na baraka. Unless liwe deni lilishiba na lenye mikataba hapo ndipo taratibu za kisheria hufuatwa ili kupata stahiki zakoNafikiri hilo ni kosa walipaswa kuwaelekeza wanaodai au kudaiwa na marehemu kuwana viongozi wa familia kwaajili ya kulipa au kulipwa kwa ushahidi kama lazima ingawa katika maisha ya kibongo pesa huwa tunakopeshana kwa kuaminiana huwa hatusaini mikataba hivyo unayemdai akifa inakuwa shida sana kupata haki yako lakini wakati mwingine unaingiwa na huruma hasa kwakuwa mlishibana na marehemu hivyo unaona si vema kuwadai wafiwa hasa kwakuwa hali za kiuchumi za familia zetu tunazijua ni dhoofu na hapo kama alikukopesha ni vizuri kulipa kuisaidia familia
Mi huyu mtu hata akifa wapi ntasimama na nikitangulia ntaacha usia anilipeHaileti picha nzuri kusimama na kesema namdai marehemu. lazima uwe na moyo wa ujasili sana kufanya ilo tukio hafifu. Unless liwe deni kubwa kama ni milioni 10 sema milioni 5 hiyo 5 ni kama rambi rambi.
Tusinye misiba ni mahali pa kupatia kipato.