Natumai hamjambo wakuu.
Wakuu, misiba ya sasa imekua majanga sana, yaani badala ya watu kwenda msibani kusitiri na kuwafariji wafiwa badala yake misiba imegeuka vijiwe vya majungu na kuwajadili wafiwa A-Z
Sasa mi najiuliza kuna manufaa gani kuwajadili wafiwa tena in negative way? Zamani misibani watu walikua na heshima sana tofauti na sasa, sijui tunakwama wapi?
Wakuu niwaombe tuweni mabalozi wa kuikemea tabia hii tuwapo misibani coz haipendezi kabisa.