Misiba kugeuzwa mtaji wa kisiasa

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Katika kipindi cha hivi karibuni kumeibuka tabia ya ajabu sana ya wanasiasa kutumia misiba kama mtaji wa kisiasa. tabia hii sio ya kiungwana wala sio utu, na sio ubinadam. wapenda haki na usawa wa kibinadam tunapinga na kukemea jambo hili kwa jina la aliye juu mwingi wa rehema na amani.

Hii tabia kuanzia Luck Vicent hadi Moshi na kwingineko ishindwe na ilegee
 
Tumekuelewa sana mkuu. Sasa, waambie hao maccm kuwa, wasingojee vifo ndo wajionyeshe wenye nguvu. Haiwezekani uandae msiba kwangu halafu uwakaribishe waja kunena hadi wa nje ya nchi halaf mimi mwenye mji usiniruhusu hata kusema neno moja "Poleni". Uliona wapi??
 
Back
Top Bottom