Namfahamu huyu Dada ni wifi angu huyu.Haya sasa, wale wapenzi wa vitu vizuri, wasiopitwa kwa lolote kwa chochote tupieni jicho hapo. Mishono haibagui, mnene wala mwembamba.
Pia usiwe mchoyo kushare ili nasi
tufaidi.
Pendeza kwa muonekano mzuri, pia mfurahishe baba chanja ili asikate kiu ya matamanio juu yako.
Wanapendeza sana, ukute na kifua cha kuvalia kipo, uwiiii!!!
Niko nachukua notisi. Endeleeni tu...So far ni:Acha tu. Na mikono pia.
Niko nachukua notisi. Endeleeni tu...So far ni:
(1) Tumbo flat
(2) Kifua (sijui kinatakiwa kiweje)
(3) Mikono (sijui inatakiwa iweje)
(4)
(5)
(6)
(7)
(8)
(9)
(10)
Dunia hii ilivyo na maajabu yake............unaweza shangaa kusikia huyo ni ''mke'' au ''girlfriend'' wa mtu.
Hiyo nilikuwa sendoff yake pale mbezi gardenOooooh!! Hongera kwa kupata wifi anayejua kudamshi.
T ake mbona wote umechagua "tall dark guys"?
Hahaha!
Ngoja na wengine waje kuendeleza!
T ake mbona wote umechagua "tall dark guys"?
Hahahaaha
4. Mrefu
5. Mweusi
Hahahaaha
4. Mrefu
5. Mweusi