Mishikaki ya Panya iko bomba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishikaki ya Panya iko bomba

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Mar 18, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  I knew cooked field rats were eaten in Asian countries like Thailand and Vietnam (they look very tasty too), but it seems they’re regarded as a delicacy in African countries like Malawi.


  Living in one of the world’s poorest countries, the people of Malawi have to survive any way they can, so when they’re confronted with the choice of eating mice or starving to death, you can guess what they opt for.
  Young children chase the “tasty” critters through the corn fields, right after the harvest, when the mice are nice and fat. To easily catch Kapuku, the most popular edible species of mice, locals set up traps throughout the fields. They fill large clay vats with water and smear them with fried corn husks. As the rats fight over the husks, some of them fall in and drown.
  The mice are cooked, salted or dried, then strung on sticks and sold as delicacies. Yum!
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yanikumbusha enzi za Salanda wakati tunasafiri na reli ya kati ile mishkaji ya ndege na kunguru..
   
 3. gwambala

  gwambala Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh umesema salanda na mimate yote imenitoka dah pale ndo kwenyewe pale.
   
 4. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #4
  Mar 19, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa una maana ya stesheni ya saranda, au salanda
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kuna mapaja ya kuku makubwa kama ya Mbuzi ..saranda oyeeeeee
   
 6. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo huyu mtu aliyeandika hii:
  <hr> <!-- message --> <!-- google_ad_section_start -->I knew cooked field rats were eaten in Asian countries like Thailand and Vietnam (they look very tasty too), but it seems they're regarded as a delicacy in African countries like Malawi.

  Anaona ni sawa kama nchi za Asia wakila panya lakini waAfrika wakila ni kwa sababu wanashida. Jamani!! Na wao wanavyokula chura Ufaransa?
   
 7. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Panya nimekula sana, ni nyama bomba sana ikichomwa. Saranda ndio sehemu ambayo nilipenda kula nikisafiri kwa treni ya kati enzi hizo.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh bado sijala panya, kabisa wala samaki nchanga tehe
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hii kiboko kweli jamani...hatufi njaa ng'ooo!!!!
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Are these people for real!!?
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  i feel like puking!
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Si jambo la Kustajabisha kwa Nchi kama Malawi au Zambia wanakula Panya weupe hao Wazambia mie nilikuwepo Zambia Mwaka 1981 wakati nilipokuwa na miaka 17 niliona kitucha ajabu huko Zambia watu kula Panya weupe na Majongoo yanayoanguka kwenye Mti wa Muembe wakati wa mvua zikinyesha wenyewe wakasema hao Panya Weupe ni watamu kutokana na Dini yangu na ninapotoka DAR kwangu mimi ilikuwa ni kitu cha ajabu mimi sikuweza hata kidogo kula hao Panya weupe kweli inasikitisha Wanyama wapo wa kumwaga lakini watu wanakula vitu vya ovyo ovyo kama Wanigeria wanakula Paka,Wamakonde hapo kwetu wanakula Mbwa Wahehe wanakula Mbwa Wakongo wanakula Machipanze,Wajapan wanakula Nyoka ,vyura,Wafilipino wanakula kila kitu Ehh kazi kweli katika hii Dunia Mungu atasaidie Jamani Tuache kula vitu vya ajabu ajabu
   
Loading...