Misheni town tunashukuru. Tunataka ndoa sio uzinzi na matajiri

sakayo ukiangalia kwa jicho fulan sio kichwa kile shost ! baba aliwah niambia olewa na mtu unaeendana naye sio mume phd holder wewe form 4 atakutesa !na ndo kitakachotokea kwa zama ! yaan piga ua atafurahia ndoa kwa muda mfupi sana ! hajachagua aiseee ! weee!
kweli shost zama pale kapigwa za uso .huo ndo ukweli
 
Wanaume wenye kazi zao, elimu nzuri sijui hela hawataki kutuoa. Wanataka watugegede wee!

Wenzenu hatutaki uzinzi mwishowe tuje tufie lodge tuzikwe kwa aibu, tunataka kufanya ibada ya ndoa. Any nearby available single mishen town?

Ila usiniambie wewe ni mtoto wa katelephone njoo na uhalisia wako nitakupa mtaji wa kuuza chapati au nitakununulia bodaboda na mahari utakayompa mzee wangu maana atanipa mzee hapendi kula mahari yule.

Mahari yako ndio mtaji wako.
Miss Natafuta na wenzako, ina maana Le Baharia hamumuoni ama ni ubaguzi mamboleo?
 
We Unaweza Sema sio Kumbe mwenzako kuna alichompendea. Watu hatufanani best, ndo maana Unaweza ona mke na mume wanafuatana unajiuliza kampendea nini huyu???!! Lakinii ndo chaguo lake. Tumuombee aishi kwa amani na mumewe ndo walishachaguana hivyo!!!!
Sakayo watu hawaelewi maana ya ndoa,ndoa si kuendana vimo wala vipato, ndoa si kuendana tabia wala uzuri
Ndoa ni Muunganiko wa amri ya M/Mungu na litakalodumisha ndoa ni uvumilivu baina ya mmoja wao! Naweza kua na mke au mume fyatu kweli kweli lakini mmoja wao awe mvumilivu! Mmoja wao awe fala tu basi kila kitu hata kama kimeharibika kitaonekana kipo sawa! Tumuombee Zamaradi awe na uvumilivu katika ndoa yake kwa hali yoyote atakayoipitia basi afunge swala na arejeshe machozi yake kwa M/Mungu yeye atampa nafuu
 
sakayo ukiangalia kwa jicho fulan sio kichwa kile shost ! baba aliwah niambia olewa na mtu unaeendana naye sio mume phd holder wewe form 4 atakutesa !na ndo kitakachotokea kwa zama ! yaan piga ua atafurahia ndoa kwa muda mfupi sana ! hajachagua aiseee ! weee!
Hakuna ndoa yenye amani kwa wanandoa kujihisi wanaendana, matokeo hayo ya kujiona una PhD na yeye ana PhD ni wote kujihisi mna sauti sawa ya kimalaka ndani ya nyumba! Usiwadanganye wenzio hapa
Kikubwa TUMUOMBEE mwanamke mwenzetu baada ya Allah kumtimizia hitaji lake na hitaji la wanawake wote wenye kuelewa thamani ya ndoa basi akawe mtulivu,msikivu na zaidi Mvumilivu kwa Mumewe, akapende ndugu wa mumewe sawa sawa anavyowapenda ndugu zake na zaidi azidishe ibada kwani sasa swala zake Mtume Muhammad atazipokea pasipo shaka yoyote
 
Sakayo watu hawaelewi maana ya ndoa,ndoa si kuendana vimo wala vipato, ndoa si kuendana tabia wala uzuri
Ndoa ni Muunganiko wa amri ya M/Mungu na litakalodumisha ndoa ni uvumilivu baina ya mmoja wao! Naweza kua na mke au mume fyatu kweli kweli lakini mmoja wao awe mvumilivu! Mmoja wao awe fala tu basi kila kitu hata kama kimeharibika kitaonekana kipo sawa! Tumuombee Zamaradi awe na uvumilivu katika ndoa yake kwa hali yoyote atakayoipitia basi afunge swala na arejeshe machozi yake kwa M/Mungu yeye atampa nafuu
Amina mamy, siku zoote mwanaume mwenye upendo lazima akuweke Karibu na Mungu, hakuna binadamu asiye na madhaifu ndo maana ya kupewa mwenzi wa kusaidiana nae!!!
 
Nyie c mnawalingia mishentown mnataka wanaolipwa mishahara naona sasa dawa ishaanza kuwaingia
 
Hakuna ndoa yenye amani kwa wanandoa kujihisi wanaendana, matokeo hayo ya kujiona una PhD na yeye ana PhD ni wote kujihisi mna sauti sawa ya kimalaka ndani ya nyumba! Usiwadanganye wenzio hapa
Kikubwa TUMUOMBEE mwanamke mwenzetu baada ya Allah kumtimizia hitaji lake na hitaji la wanawake wote wenye kuelewa thamani ya ndoa basi akawe mtulivu,msikivu na zaidi Mvumilivu kwa Mumewe, akapende ndugu wa mumewe sawa sawa anavyowapenda ndugu zake na zaidi azidishe ibada kwani sasa swala zake Mtume Muhammad atazipokea pasipo shaka yoyote

mamy unajibu kwa jazbaaa nawadanganya ili iweje ? hayo ni maoni yangu mie MBITI sio wewe
 
Siku zote nawakalipia wanawake wanaotaka usawa na wanaume,sipendi nyumba ziwe na makelele na ili kuepusha hilo wanawake hatuna budi kujinyenyekeza kwa wenza wetu, though ni maoni yako lakini wapo watakao yachukua hivyo hivyo matokeo yake wataharibu nyumba zao
 
yaan mie kwangu ukisikia kelele we jua ni za chadema na ccm ! na hizo zipo daily sio unazosema wewe !mie ukitaka univuruge bas nyumba iwe na kelele zisizo na kichwa wala miguuu !sipend kelele toka tumbon mwa mama yangu my dear na mume naye ndo kabisaaa mkimyaaaaa ! bahat nzuri mwenzako huwa nina jicho kali sana kwenye mahusiano ! time will tell!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom