MTONILIST
Member
- Apr 20, 2012
- 77
- 10
Kuna kila dalili watumish wa umma watakula xmass bila mshahara kwa kuwa hadi mida hii naingia mitamboni akaunti za watumish hawa wa umama hazijasoma. Du ni uonevu sasa wanataka hawa watu wakatafute wapi hela za sikukuu. Kuna haja ya serikal ya Jk kujipima jaman hawajazoea.