Mishahara yaota mbawa

MTONILIST

Member
Apr 20, 2012
77
10
Kuna kila dalili watumish wa umma watakula xmass bila mshahara kwa kuwa hadi mida hii naingia mitamboni akaunti za watumish hawa wa umama hazijasoma. Du ni uonevu sasa wanataka hawa watu wakatafute wapi hela za sikukuu. Kuna haja ya serikal ya Jk kujipima jaman hawajazoea.
 
Eti hadi naingia mitamboni,pole mwalimu.
Kuna kila dalili watumish wa umma watakula xmass bila mshahara kwa kuwa hadi mida hii naingia mitamboni akaunti za watumish hawa wa umama hazijasoma. Du ni uonevu sasa wanataka hawa watu wakatafute wapi hela za sikukuu. Kuna haja ya serikal ya Jk kujipima jaman hawajazoea.
 
hivi siku hizi mishahara inalipwa nyakati za sikukuu??
je na miezi isiyo na sikukuu wasilipwe?
 
------- wewe kilaza,aliekwambia serikali inalipa mishahara wakati au karibu na sikukuu nani?mishahara ya serikali ni kuanzia trh 28,acha kukurupuka na post zisizo na tija
 
Kama ulivunja kibubu halafu ukategemea mshahara utaingia kabla ya sikukuu pole yako
 
Nilifikiri ni sisi tu tunaofanya kazi kwa wahindi!!KUMBE HADI NYIE WA GOVT!!
 
Kuna kila dalili watumish wa umma watakula xmass bila mshahara kwa kuwa hadi mida hii naingia mitamboni akaunti za watumish hawa wa umama hazijasoma. Du ni uonevu sasa wanataka hawa watu wakatafute wapi hela za sikukuu. Kuna haja ya serikal ya Jk kujipima jaman hawajazoea.
Huko kwenu tu mbona wengine wamechukua!
 
Back
Top Bottom