Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,006
Inawahusu wenye coz ya education kwenye degree zao.
Nimekua nikijiuliza kama kuna tofauti ya mishahara kwa waajiriwa kutokana na vyuo walivyosoma labda Udom, saut,Mkwawa,Udsm,Sua,Mzumbe,n.k. Baada ya kufuatilia nimegundua yafuatayo
1. Walimu wanaomaliza vyuo vyote tanzania kwa ngaz ya shahada (degree) na kuajiriwa na serekali wanalipwa mishahara sawa wanapoanza kazi.
2.madactar,manesi,wanasheria wanapoajiriwa na serekali wanapangiwa katika maeneo tofauti tofauti bila kuangalia waliosoma chuo hiki waende huku na wa chuo hiki waende kule,wote wanakutana kwenye ofisi moja na utendaji ni ule ule.
Mantiki yangu hapa ni kwamba kama ktk ajira hatuajiriwi kwa kuangalia ulisoma chuo gan bali ufaulu wako uliokuwezesha kupata shahada na utendaj kwanini watu weng wanaponda baadh ya vyuo na kuvibeza vingine.
Kamtu kanasoma Bsc with Ed Udsm, na mwingine coz hiyohiyo Mkwawa au sauti au udom,watu hawa wote watapewa mkopo,watapewa ela ya field,Watapewa ela ya special fuculty,watapewa ela ya stationary na hata ktk kuajiriwa wataajiriwa shule moja na kiwango kimoja cha mshahara bila kuangalia nani kasoma wap?kuna kejeli zingine hazina mantiki
kwa mtu unayesoma coz zisizo na ajira ya moja kwa moja mf Baf,BICOM,IT,TOURISM ni vyema ukaangalia ni chuo gan kinaongoza kwa ile fani usika unayoichukua kwani hamna chuo kinachotoa wahitimu perfect kwenye coz zote ila baath ya coz.