Mishahara ya walimu kulipwa kutokana na vyuo walivyosoma?

Mao ze dong

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
941
1,006
Inawahusu wenye coz ya education kwenye degree zao.

Nimekua nikijiuliza kama kuna tofauti ya mishahara kwa waajiriwa kutokana na vyuo walivyosoma labda Udom, saut,Mkwawa,Udsm,Sua,Mzumbe,n.k. Baada ya kufuatilia nimegundua yafuatayo
1. Walimu wanaomaliza vyuo vyote tanzania kwa ngaz ya shahada (degree) na kuajiriwa na serekali wanalipwa mishahara sawa wanapoanza kazi.

2.madactar,manesi,wanasheria wanapoajiriwa na serekali wanapangiwa katika maeneo tofauti tofauti bila kuangalia waliosoma chuo hiki waende huku na wa chuo hiki waende kule,wote wanakutana kwenye ofisi moja na utendaji ni ule ule.

Mantiki yangu hapa ni kwamba kama ktk ajira hatuajiriwi kwa kuangalia ulisoma chuo gan bali ufaulu wako uliokuwezesha kupata shahada na utendaj kwanini watu weng wanaponda baadh ya vyuo na kuvibeza vingine.
Kamtu kanasoma Bsc with Ed Udsm, na mwingine coz hiyohiyo Mkwawa au sauti au udom,watu hawa wote watapewa mkopo,watapewa ela ya field,Watapewa ela ya special fuculty,watapewa ela ya stationary na hata ktk kuajiriwa wataajiriwa shule moja na kiwango kimoja cha mshahara bila kuangalia nani kasoma wap?kuna kejeli zingine hazina mantiki

kwa mtu unayesoma coz zisizo na ajira ya moja kwa moja mf Baf,BICOM,IT,TOURISM ni vyema ukaangalia ni chuo gan kinaongoza kwa ile fani usika unayoichukua kwani hamna chuo kinachotoa wahitimu perfect kwenye coz zote ila baath ya coz.
 
Tatizo waliosoma vyuo vya kata hawajiamini wawapo kazini hata akiulizwa umesoma chuo gani anajibu kwa hofu, na wengine ni vilaza kweli wamebeba ma GPA makubwa hawana confidence ya kuyatumai, mlolongo wa namna alivyosoma ameunga ni balaa ana vyeti 3 vya olevel 2vya Alevel.hasa hao walimu sio wote ila wengi ni matatizo, wapo kazini kwangu tena toka vyuo mbalimbali vya kata hawajiamini. lakini fanya uchunguzi mdogo kujua wanafunzi wa ualimu wanao soma sauti,tumaini,teku,m.meru,arusha n.k background yao wengi walikuwa vilaza toka sekondari,nani hapendi kusoma udsm, sua vyuo vikubwa?naongelea kwa walimu. mkwawa na duce hawana shida ilahao wanaotoka private university hawajiamini ndo maana wanaonekana hawafai.lakini kuna mmojammoja wapo vizuri kichwani.
Code:
 
Pole kaka, naona yamekukuta ndo maana unaonesha kugushwa. Hata hivyo kaka kizuri hujiuza na kibaya hujitembeza. Kwahiyo huna haja sana ya kupiga chapuo kwa jambo kama hilo. Kama unafaa, utaajiriwa tu katika taasisi yoyote lakini kama asilimia kubwa ya watu wanaotoka vyuo flani hawaoneshi kuwa na uwezo wa kufanya kazi vizuri inapunguza credibility yao kuajiriwa. Unajua kila chuo kina reputation yake kwa waajiri so swala la msingi ni kuhakikisha kuwa kila chuo kinatoa elimu bora ili kushindana katika soko la ajira. Usilalamike kijana, onesha umuhimu wa elimu yako, otherwise utalalamika mpaka mwisho
 
Naona una epress hisia zako. Vipi umenyanyapaliwa nini? Lakini kwa taasisi binafsi mwajiri ana haki ya kuweka criteria kama anataka. Mfano kuna shule naifahamu Graduate wa UDSM, DUCE,MUCE, SUA wanafundisha A Level wakati wa vyuo vingine kama TEKU, IUCO, SAUT wanapewa vipindi Form One; ila serikalini hakuna kitu kama hicho
 
Tatizo waliosoma vyuo vya kata hawajiamini wawapo kazini hata akiulizwa umesoma chuo gani anajibu kwa hofu, na wengine ni vilaza kweli wamebeba ma GPA makubwa hawana confidence ya kuyatumai, mlolongo wa namna alivyosoma ameunga ni balaa ana vyeti 3 vya olevel 2vya Alevel.hasa hao walimu sio wote ila wengi ni matatizo, wapo kazini kwangu tena toka vyuo mbalimbali vya kata hawajiamini. lakini fanya uchunguzi mdogo kujua wanafunzi wa ualimu wanao soma sauti,tumaini,teku,m.meru,arusha n.k background yao wengi walikuwa vilaza toka sekondari,nani hapendi kusoma udsm, sua vyuo vikubwa?naongelea kwa walimu. mkwawa na duce hawana shida ilahao wanaotoka private university hawajiamini ndo maana wanaonekana hawafai.lakini kuna mmojammoja wapo vizuri kichwani.
Code:

1.naomba tofauti ya kimaslai kati ya hawa walimu wa Ud na vyuo vingine.
2.sio kweli kua division zote one na two zinaenda ud,
3.UD division 3 zipo kibao kama vyuo vingine
4.sio kweli kua walimu wa ud wote ni wanauwezo bali inategemea mtu binafsi
5.kuna tofauti kati ya compitance and perfomance hii concept kama unaijua ilivyo utakubali mtu anaweza akawa na division 1.7 o.level,1.5 A-level,na gpa 4.5 lakini perfomance ikawa chini dispite kasoma chuo gan
 
Pole kaka, naona yamekukuta ndo maana unaonesha kugushwa. Hata hivyo kaka kizuri hujiuza na kibaya hujitembeza. Kwahiyo huna haja sana ya kupiga chapuo kwa jambo kama hilo. Kama unafaa, utaajiriwa tu katika taasisi yoyote lakini kama asilimia kubwa ya watu wanaotoka vyuo flani hawaoneshi kuwa na uwezo wa kufanya kazi vizuri inapunguza credibility yao kuajiriwa. Unajua kila chuo kina reputation yake kwa waajiri so swala la msingi ni kuhakikisha kuwa kila chuo kinatoa elimu bora ili kushindana katika soko la ajira. Usilalamike kijana, onesha umuhimu wa elimu yako, otherwise utalalamika mpaka mwisho

silalamiki ila nataka logic ya kutaka watu wote wasome Ud kama ndo chuo kikuu pekee tz.by the way najiamini na ufaulu wangu ni mzur.Kuna degree program ngap hazitolewi ud?so watu wasisome wanapozitoa?je course outline ya ud na vyuo vingine utofauti waka mkubwa upo kwenye nini?
 
1.naomba tofauti ya kimaslai kati ya hawa walimu wa Ud na vyuo vingine.
2.sio kweli kua division zote one na two zinaenda ud,
3.UD division 3 zipo kibao kama vyuo vingine
4.sio kweli kua walimu wa ud wote ni wanauwezo bali inategemea mtu binafsi
5.kuna tofauti kati ya compitance and perfomance hii concept kama unaijua ilivyo utakubali mtu anaweza akawa na division 1.7 o.level,1.5 A-level,na gpa 4.5 lakini perfomance ikawa chini dispite kasoma chuo gan

Hapo kwenye red mzee, aah umenikosha! tusijadili vyuo gani, bali competence na performance katika kazi. Vyeti vay kibongo ukiviona vinatisha ila vichwani in reality bureeeeee! kabisa. Kuna interview moja ilifanyika wakabaki watu 3 na anahitajika 1, fani uchumi; mmoja Open university with 3.5 GPA, UDSM with 4.5 na mwingine KIU with 3.8 GPA, wote freshers ambaye sasa ni mchumi wa wilaya ni jamaa wa OPEN unv.!
 
silalamiki ila nataka logic ya kutaka watu wote wasome Ud kama ndo chuo kikuu pekee tz.by the way najiamini na ufaulu wangu ni mzur.Kuna degree program ngap hazitolewi ud?so watu wasisome wanapozitoa?je course outline ya ud na vyuo vingine utofauti waka mkubwa upo kwenye nini?

Binafsi sijasoma UD ila nachotaka kusema tu ni kuwa watu wameaminishwa kuwa UD ndo chuo bora kuliko vingine jambo ambalo si kweli pamoja na ukweli kwamba ni chuo kikongwe kwa Tanzania. Mi nadhani mawazo hayo yatatoka tu endapo wahitimu kutoka vyuo mbalimbali wataonesha competency katika fani zinazoshabihiana.
 
Hapo kwenye red mzee, aah umenikosha! tusijadili vyuo gani, bali competence na performance katika kazi. Vyeti vay kibongo ukiviona vinatisha ila vichwani in reality bureeeeee! kabisa. Kuna interview moja ilifanyika wakabaki watu 3 na anahitajika 1, fani uchumi; mmoja Open university with 3.5 GPA, UDSM with 4.5 na mwingine KIU with 3.8 GPA, wote freshers ambaye sasa ni mchumi wa wilaya ni jamaa wa OPEN unv.!

tajizo watu wanachukulia umr wa chuo pasipo kuangalia individual perfomance in provission of what the graduate earn.mtu anachukua sample ya watu wachache wazembe katika chuo anafanya general conclution ya chuo kizima.Nafurah kwasababu umetoa na mfano kuhusu competance and perfomance
 
Binafsi sijasoma UD ila nachotaka kusema tu ni kuwa watu wameaminishwa kuwa UD ndo chuo bora kuliko vingine jambo ambalo si kweli pamoja na ukweli kwamba ni chuo kikongwe kwa Tanzania. Mi nadhani mawazo hayo yatatoka tu endapo wahitimu kutoka vyuo mbalimbali wataonesha competency katika fani zinazoshabihiana.

that's what's up!!
 
Nimegundua kuwa huyu aliyeleta hii mada hapa hajui mchakato na utaratibu wa ajira. Vigezo vya GPA na CHUO vinatumika tunapofanya selection/shortlisting,likini kiasi cha mshahara hutegemea scheme of service inayotumika katika ofisi husika. Msichanganye kati ya GPA/CHUO mtu na mshahara havina uhusiano.
 
Ok kwani ukishafanyiwa usaili scheme of services itaangalia ulisoma chuo gani?unarud pale pale we are paid in accordance of our responsibilities or duties assigned but not according to where we took our bachelors or whatever.
 
Binafsi sijasoma UD ila nachotaka kusema tu ni kuwa watu wameaminishwa kuwa UD ndo chuo bora kuliko vingine jambo ambalo si kweli pamoja na ukweli kwamba ni chuo kikongwe kwa Tanzania. Mi nadhani mawazo hayo yatatoka tu endapo wahitimu kutoka vyuo mbalimbali wataonesha competency katika fani zinazoshabihiana.

we waache tu hao UD hawajajua kwenye kozi za engineering hawawafikii DIT kwa kutoa maengineer ambao wako fiti practically! Wao wamebaki na uengineer wa kwenye makaratasi.
 
Nimegundua kuwa huyu aliyeleta hii mada hapa hajui mchakato na utaratibu wa ajira. Vigezo vya GPA na CHUO vinatumika tunapofanya selection/shortlisting,likini kiasi cha mshahara hutegemea scheme of service inayotumika katika ofisi husika. Msichanganye kati ya GPA/CHUO mtu na mshahara havina uhusiano.

Ok kwani ukishafanyiwa usaili scheme of services itaangalia ulisoma chuo gani?unarud pale pale we are paid in accordance of our responsibilities or duties assigned but not according to where we took our bachelors or whatever
 
jamani tukubali vyuo vingi bado havijaweza ktk mambo fulani fulani kwahyo ud na matawi yake kuwa juu haiepukiki kwa sasa
 
Hapo kwenye red mzee, aah umenikosha! tusijadili vyuo gani, bali competence na performance katika kazi. Vyeti vay kibongo ukiviona vinatisha ila vichwani in reality bureeeeee! kabisa. Kuna interview moja ilifanyika wakabaki watu 3 na anahitajika 1, fani uchumi; mmoja Open university with 3.5 GPA, UDSM with 4.5 na mwingine KIU with 3.8 GPA, wote freshers ambaye sasa ni mchumi wa wilaya ni jamaa wa OPEN unv.!

cheki mlivowaongo na msiojiamin,udsm mtu yeyote anayepata 1st class ya uchumi huwa anabakishwa chuon na kusomeshwa masters bure na akimaliza huwa anaajiriwa BOT,sasa huyo unaesema alikua na GPA ya 4.5,huko alitokea wapi?jipangeni na hvyo vyuo vyenu vya uchochoroni!
 
we waache tu hao UD hawajajua kwenye kozi za engineering hawawafikii DIT kwa kutoa maengineer ambao wako fiti practically! Wao wamebaki na uengineer wa kwenye makaratasi.

Jamaa yangu Practical bila Theory basi hata darasa la 7 Humshindi kwa Practically
Ujenzi kuna jamaa kibao ni mafundi Uashi na wanachapia Maghorofa ripu sio Mchezo lakini jamaa wanaotoka UDSM hata kushika mwiko au mkono bawa hawaujui au hawajui je Mshahara watalingana?
Chukulia Ma Dr Hospitalini utachukulia uzoefu wa miaka mingi au waliotoka Muhimbili na Urusi
Yaani kuna tofauti sana ya kitabu na uzoefu mfano wa mwisho mafundi wa TTCL na Analogy zao utawashindanisha na wahitimu wa sasa hivi wa IT kwanini TTCL isife ki-Silencer wakiwa na Mafundi waliosomea Posta na Simu wakiwapisha Vodacom Airtel, tiGo na Makampuni mengine inayowasomesha kila siku Technolojia inapobadilika tena huko nje sio DIT au Arusha Tech na theory za 1970 (Analogy)
Kwa hiyo Mwalimu anayefundisha VETA somo la Computer ni Tofauti mashahara na anayefundisha masomo hayohayo UDSM, UDOM nk
 
Inawahusu wenye coz ya education kwenye degree zao.

Nimekua nikijiuliza kama kuna tofauti ya mishahara kwa waajiriwa kutokana na vyuo walivyosoma labda Udom, saut,Mkwawa,Udsm,Sua,Mzumbe,n.k. Baada ya kufuatilia nimegundua yafuatayo
1. Walimu wanaomaliza vyuo vyote tanzania kwa ngaz ya shahada (degree) na kuajiriwa na serekali wanalipwa mishahara sawa wanapoanza kazi.

2.madactar,manesi,wanasheria wanapoajiriwa na serekali wanapangiwa katika maeneo tofauti tofauti bila kuangalia waliosoma chuo hiki waende huku na wa chuo hiki waende kule,wote wanakutana kwenye ofisi moja na utendaji ni ule ule.

Mantiki yangu hapa ni kwamba kama ktk ajira hatuajiriwi kwa kuangalia ulisoma chuo gan bali ufaulu wako uliokuwezesha kupata shahada na utendaj kwanini watu weng wanaponda baadh ya vyuo na kuvibeza vingine.
Kamtu kanasoma Bsc with Ed Udsm, na mwingine coz hiyohiyo Mkwawa au sauti au udom,watu hawa wote watapewa mkopo,watapewa ela ya field,Watapewa ela ya special fuculty,watapewa ela ya stationary na hata ktk kuajiriwa wataajiriwa shule moja na kiwango kimoja cha mshahara bila kuangalia nani kasoma wap?kuna kejeli zingine hazina mantiki

kwa mtu unayesoma coz zisizo na ajira ya moja kwa moja mf Baf,BICOM,IT,TOURISM ni vyema ukaangalia ni chuo gan kinaongoza kwa ile fani usika unayoichukua kwani hamna chuo kinachotoa wahitimu perfect kwenye coz zote ila baath ya coz.

Ubora wa vyuo unategemea wahadhili wake kwa idadi na usomi wao, vifaa, uzoefu, nk. Ndio maana duniani kote vyuo hupangwa kwa rank. Usitemee Harvard kiwe na hadhi moja na Michigan (USA) pia Oxford hakiwezi kuwa hadhi moja na LOAS (huko Uingereza). Jomokenyata hakiwezi kuwa sawa na Ergaton (huko Kenya) nk nk. mfano hapa kwetu, UDSM kina rank ya 13 kwa ubora kusini mwa Sahara.

Kuna vyuo hapa nchini vina madaktari 3 tu. Chuo kama hicho hakiwezi kufanana na Mzumbe chenye madaktari 23. UDSM kina maprofesa na Madaktari wapatao 800 hakiwezi kuwa sawa na MuM.

Pia ukubwa wa chuo kitaaluma ni kuona kinatoa shahada, uzamili na uzamivu kwa idadi kubwa.wakati vyuo vingine havijaruhusiwa kutoa shahada za Uzamili na Uzamifu
.
 
Hoja hii naisikia sana lakin nina mifano ya marafiki waliosoma teku shahda ya 1,na kumaliza shahda ya pili mliman,sasa sijui kwa hiyo hoja ya mishahara wanakuwa wapi?
 
Back
Top Bottom