Acha majungu,Dr. analipwa kwa kazi yake, unadhani hiyo kazi ya uvuvuzela ni ndogo? His responsibilities are well known. Hata apewe 20M hakuna ubaya, he is doing a lot for this country. Amezungumzia ujinga wa Kiwete kusign nyongeza ya wabunge na hakusema wabunge ccm. Kwa akili yako ndogo ulitaka aseme wabunge wa cdm wagomee hizo posho ndo ungemuona ana akilipampafu wewe slaa wanayekuita dr kweli umeishiwa zinakuuma. Ungekuwa mbunge na wewe ungepata. Mbona 7m ambazo na wewe ulishiriki kujilipa husemi. Acha kupata pressure wambie mbowe na wife wake wakuongezee na wewe .nakukumbu$ha mkataba mliokubaliana na cdm juu ya masharti ya kuwa vuvuzela wao. Lazima wakulipe 11m soon. Acha wivu wa k... Mzee.
huyu Padri mwongo sana mbona hasemi chadema yeye wanamlipa shilingi ngapi? kama sio mshahara huo huo wa mbunge? mtu huyu ndio alikuwa anategemewa awapeleke wakristo kwa mungu, kazi kweli kweli!!!
Tatizo ulikuw analo wewe, mimi nilisema kile kilichotokea ukabisha kuwa sii kweli, mara zote ukweli will prevail japo hakuna Justice..Tatizo nini? sijaelewa!
Tatizo ulikuw analo wewe, mimi nilisema kile kilichotokea ukabisha kuwa sii kweli, mara zote ukweli will prevail japo hakuna Justice..
yeye mbona anakula 7m na hakuna anae lalamika. Huyu mzee kweli ni Mnafiki.
huyu Padri mwongo sana mbona hasemi chadema yeye wanamlipa shilingi ngapi? kama sio mshahara huo huo wa mbunge? mtu huyu ndio alikuwa anategemewa awapeleke wakristo kwa mungu, kazi kweli kweli!!!
pia yeye kama katibu mbona anapewa ruzuku kubwa (chama chake) sawa na ccm na hakuna cha maana anachofanyia kama ilivyo kwa ccm (hebu atwambie ccm na cdm unaweza ukawatofautisha vipi? maana inaonekana vyote hivi ni mzigo kwa watanzania
Dr. Slaa hapo amewatia changa la macho, "mshahara na marupurupu", kabla ya hapo ulikuwa ngapi? weka brakdown uone mnavyofanywa misukule na Slaa. Mbona yeye hasemi fedha anazoikopa chadema kumjengea Josephine?
Angalau Chadema wanasimama na wananchi kufichua wanahujumu nchi yetu. Tena wanatetea watu wanyonge wakati ccm inatetea mafisafi tu!
tCCM ni janga na kero kubwa sana TZ.