Mishahara ya wabunge 19 wasio na chama ni wizi kama wa watendaji wa wizara ya fedha

Hivi kwanini msianze na katiba ya chadema kwanza maana mimi sielewi katiba ya chadema inamruhusu Mbowe kuwa mwenyekiti wa milele nakakigeuza cha kama taasisi au mali yake na pia saccos yake mngeanza na hayo kwanza ndio mjemfatilie katiba ya nchi
Tumia Akili Dogo Katiba ya Ccm inasemaje kuhusu mgombea Urais? Membe KWANINI Alifukuzwa Ccm Kikatiba alikuwa na Haki ya Kugombea lakini Mwendazake kwa Udikteta wake Akamfukuza
 
Jana WAZIRI MKUI kawasimamisha VIGOGO wa WIZARA ya FEDHA kwa WIZI wa Sh.1.6 Bil. Ndani ya Miezi 2 lakini WAZIRI MKUU huyo huyo Yuko BUNGENI na WABUNGE 19 Waliofukuzwa na CHADEMA hivyo Kupoteza SIFA ya kuwa WABUNGE kwa Mujibu wa KATIBA lakini SERIKALI yake INAWALIPA MISHAHARA huo nao ni WIZI
Ila kwel Tz siasa zetu ni za undugu, nikikumbuka zaman tifu la supika na alima ..adi ikafikia supika akasema huenda kuna vitu alima ana tumia, akamtupa kifungo cha kutohuzulia vikao ila leo sihuyo anampigania na kumlinda 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom