Mishahara ya viongozi wa vyama vya siasa

Huku kwetu chadema mishahara ni midogo sana pesa nyingi inapelekwa kwenye miradi ya kuboresha maisha ya wananchi na kukijenga chama
 
Maalim katumia 100m kwa wiki serena hotel ila sidhani kama ni sehemu ya mshahara wake.
 
Kwa kuzingatia kuwa na wao wanapata ruzuku inayotokana nasisi tunaolipa kodi.

Ni vyema kuwe na miongozo ya malipo yao. Kwa kuanzia wawe waungwana waseme tujue wanalipwa kiasi gani.
Lakini ujue wanalipwa na vyama vyao, wala si watumishi wa serikali! Kama ni kodi zetu, wafanyabiashara wanafaidi zaidi kodi zetu kwani kila tunachonunua wanaweka na kodi juu. Je, nao tujue wanajilipaje?
 
Back
Top Bottom