Mishahara ya viongozi wa Tanzania

- Sababu kubwa iliyompa ubunge Six, ilikuwa wakati wa kampeni ya kugombea ubunge aliwaahidi malipo mapya na safi, ndio maana wakamtupa Msekwa chini, sasa wa kumlaumu kwa hili ni six hasa, aliwaahidi na ametimiza ahadi, anaweza pia kwua mwanasiasa mzuri kwa kutimiza ahadi ila tu akiacha kujaribu kuwa Spika na politician at the same time! au?

FMES!
 
Hapo ina maana kuwa asilimia kubwa ya wabunge ni wale wale na wana uhakika wa kuendelea na ubunge wao na ndio maana wanapigania mishahara minono zaidi, wana uwezo kumtisha spika to be kabla hata wao wenyewe hawajachaguliwa, hilo haliwapi shida kwani wana uhakika na kura/kula regardless of their job perfomance.

Ama kweli wajinga ndio waliwao.
 
Sasa jamani wabunge ambao ni watetezi wa wanyonge..nao wanachukua chao mapema!!

Sasa hivi mnyonge wa tanzania ni nani anayemtetea?? NGOs? Wanajitetea wenyewe through maandamano?

Afadhali hata magazeti kama Thisday wanamtetea mnyonge kwa kufichua ufisadi!

Ni ngumu sasa mbunge anayepata 7m kwa mwezi kumtetea mwalimu wa primary anayepata 150,000!
 
Ni ngumu sasa mbunge anayepata 7m kwa mwezi kumtetea mwalimu wa primary anayepata 150,000!

Sijawahi ona aliye shiba kama iwa anakumbuka wenye njaa hii ni never si walimu tuna kazi ngumu twendelee kusubili.
 
EDITORIAL: Our MPs shouldnt become a burden to the people

EDITORIAL
THIS DAY

DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Secretary General, Dr Wilbroad Slaa, has raised an important issue on how the poverty-stricken Tanzanians are being robbed by their representatives in parliament through payment of hefty allowances.

The majority of Tanzanians in both rural and urban areas are wallowing in poverty; the majority of civil servants such as teachers, nurses, agricultural extension officers, are all receiving meagre salaries and working under a hostile environment. Yet our lawmakers, through legislation, favour themselves with heavy allowances and salaries.

We know for certain that without the legislature, no government can claim to be a democracy. The legislators are supposed to represent the masses, make laws for the good governance of the country and monitor, through their oversight functions, the activities of the executive arm of government.

Since the inception of political pluralism in 1992, our legislature, generally speaking, has not lived up to the expectations of the people, both in the area of representation and in the discharge of their oversight functions.

Truly, there have been occasional flashes of brilliance, when the legislators rose as one to insist that the will of the majority of the people must prevail, such as during debates touching on the Richmond scandal, but such occasions are few and far between.

The general impression has been that our legislators are very busy representing themselves and their immediate families that they are always very active on bills and motions that pertain to their welfare or those that have potential for enriching them.

Bills that hinge on the welfare of the masses are not vigorously canvassed and issues that are dear to the people are not pursued to their logical conclusions. Most of the time, the people are not consulted by their representatives before canvassing positions on the floor of the chambers.


Indeed, most of the lawmakers do not run functional constituency offices or visit their constituents regularly, resulting into a perceptible disconnect between most of them and their constituents.

The current legislators in the Fourth Phase government of President Jakaya Kikwete have an opportunity to work to change the peoples negative perception of the National Assembly.

The historic challenge is for them to prove to the people, through their utterances and actions, that they realize the people are the owners of the mandates that they flaunt in Dodoma. This means that their primary concern must be the welfare and well-being of those that they represent, the people of Tanzania.

It means that, while not totally neglecting their well-being as legislators, the bills and motions that would attract the most attention and receive expedited action would be those that would impact positively on Tanzanians.

These include bills that would lead to creation of jobs, those that would speedily provide basic infrastructure, those that would nourish the economy, those that would guarantee peace and security and banish hunger, pain and suffering, considerably from the country.

If current legislators miss the opportunity of etching their names in gold in the annals of the nations history, posterity would forever remember them for such a major failure. They should work closely with the executive arm of government without being a rubber stamp assembly.

They must bark and bite whenever and wherever it becomes necessary, in the interest of the people and in the interest of democracy.
 
Kulipwa ( pay/paid ) = to make due return to for services rendered or property delivered etc, since there no service or delivery of anything wabunge are given this money as gifts.

Tanzania could move faster without bunge and just 4 ministers for 5 years....
 
waungwana ingekuwa vizuri tuanzishe blogg or website ya kuandika mishahara na mapato ya Watumishi wa umma eg Wabunge, Mawaziri, Diwani, na Raisi wale wote wanaoingia madarakani kwa kura za wananchi.

pili tuweke register ya wabunge wangapi wanaudhuria ktk vikao vya bunge, and how long do seat in bungeni wataalam wa IT haya tuanze kazi Namba 1 mimi niko tayari.
 
waungwana ingekuwa vizuri tuanzishe blogg or website ya kuandika mishahara na mapato ya Watumishi wa umma eg Wabunge,Mawaziri,Diwani,na Raisi wale wote wanaoingia madarakani kwa kura za wananchi.
pili tuweke register ya wabunge wangapi wanaudhuria ktk vikao vya bunge,and how long do seat in bungeni
wataalam wa IT haya tuanze kazi
Namba 1
mimi niko tayari.

newmzalendo,

Haujambo wajina Mzalendo Mpya?? haha ha ha!

Mimi ni mzalendo halisi toka zamani!!

Muhimu is Output of Bunge..kama hii pesa wanapata wangekuwa na perfomance nzuri poa..ila wengi wanasema perfomance ni kidogo!

Ni hayo tu wajina!
 
PINDA SITISHA UHALIFU HUU

WAKATI NATAKA KWENDA KUPUMZIKA BAADA YA KAZI NZITO ZA LEO NAPATA HADITHI YA AJABU SANA KUTOKA KWA WATOA TAARIFA WA MKOA WA CHIFU MKWAWA KWAMBA KATIBU MKUU TAMISEMI NA MAAFISA WAKE 43 WAMEAMUA KUFANYA ZIARA YA WIKI MOJA KATIKA MKOA HUO KWA LENGO ETI LA KUKAGUA MIRADI. STAILI MPYA YA KULA PESA ZA UMMA KWA KUJITAFUTIA VISAFARI USHENZI ILIYOBUNIWA NA WIZARA ILIYO CHINI YA WAZIRI MKUU AMBAYE ANAONGOZA MAPAMBANO YA KUZUIA ULAJI KWA NJIA YA KONGAMANO NA SEMINA.NAAMBIWA, KAMA HAMUAMINI MAJJID AMBAYE YUKO KWENYE CHANZO ACHUNGUZE ATAAMBIWA, RATIBA YA KUZURURA ZURURA, KULAMBA BIA NA KUTAFUNA KUKU WA WANANCHI MASIKINI IMEPANGWA. WATAKULA KUKU NA KUNYWA BIA UBENA, UPANGWA NA UKINGA. HIVI KWELI FEDHA HII YA KUWALIPA POSHO MAAFISA WOTE HAWA INATOKA WAPI. FIKIRI WATU 43 X 80,000/= X SIKU 12 ZA SAFARI UNAPATA NINI. jAZA MWENYE ONGEZA GHARAMA ZA MAFUTA, UCHAKAVU WA MAGARI, GHARAMA ZA VILEO NA UCHAFUZI MWINGINE. KUMBUKENI NCHI HII NI MASKINI HAINA HATA KIWANDA KIMOJA CHA MAJEMBE YA MKONO NA UCHUMI WAKE UNAPORMOKA TULIDHANI KATIBU MKUU HUYO BASI ANGEMHESHIMU WAZIRI WAKE MKUU NA KUACHA HARAKA MPANGO WA KWENDA KULA FEDHA ZA UMMA BILA KUJUA TIJA YAKE ITAKUWA NINI. NINAWAOMBA WANAHARAKATI, MZEE SLAA NA WENGINE SJHIKIENI BANGO JAMBO HILI WAACHE KUUHADAA UMMA. FEDHA HII IPELEKWE HOSPITALI YA MWANANYAMALA AU KWENYE MATIBABU YA MTOTO ALIYEZALIWA BILA FUVU/AMBAYE UTOSI WAKE UKO NJE HUKO SINGIDA. NADHANI MLISIKIA DAKTARI WA MKOA ROBERT SALIM ALIVYOKATA TAMAA NA KUONYESHA KUSHINDWA NAMNA YA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYO. SASA HUYU MAMA ALIYEPEWA DHAMANA NA UMMA KUSIMAMIA TAWALA ZA MIKOA ANGELIONA HILO NA KUPELEKA FEDHA HIZO HUKO BADALA YA KWENDA KUZIMWAGA JALALANI. TUNAUA TAIFA LETU BURE KWA MAMBO AMBAYO SI LAZIMA TUYAFANYE.
 
Dk Slaa anamsaka Spika Sitta na Kamati yake ya Maadili ya Bunge. Wenyewe huwa hawataki mambo yao ya maslahi yawekwe kwenye public.

Dk. Slaa, Je, unao uwezo wa kuhimili rungu la Spika na Kamati ya Maaadili? Asante kwa kutujuza na rungu likikushukia bado tuko upande wako; usijali songa mbele.
Ibrah,
Asante. Sidhani kama nina ugomvi binafsi na Spika. Hoja ni kuwa niliousema ni mshahara na posho ya kwangu. Ni hiari yangu kuisema kwa yeyote na kwa wakati ninapopenda, na hasa kwa wale ambao wanalipa kodi ili nilipwe posho hizo.

Nikihukumiwa kwa hilo niko tayari kwa hatua yeyote ile itakayoamuliwa. Lakini ukweli umesemwa.
 
Mkuu Dr. Slaa, heshima mbele.

Naomba kujua wewe mshahara/marupurupu/posho unayosema ni too much kwa wabunge, huwa unaifanyia nini?

Umewahi kuipokea ukala?
 
PINDA SITISHA UHALIFU HUU

WAKATI NATAKA KWENDA KUPUMZIKA BAADA YA KAZI NZITO ZA LEO NAPATA HADITHI YA AJABU SANA KUTOKA KWA WATOA TAARIFA WA MKOA WA CHIFU MKWAWA KWAMBA KATIBU MKUU TAMISEMI NA MAAFISA WAKE 43 WAMEAMUA KUFANYA ZIARA YA WIKI MOJA KATIKA MKOA HUO KWA LENGO ETI LA KUKAGUA MIRADI. STAILI MPYA YA KULA PESA ZA UMMA KWA KUJITAFUTIA VISAFARI USHENZI ILIYOBUNIWA NA WIZARA ILIYO CHINI YA WAZIRI MKUU AMBAYE ANAONGOZA MAPAMBANO YA KUZUIA ULAJI KWA NJIA YA KONGAMANO NA SEMINA.NAAMBIWA, KAMA HAMUAMINI MAJJID AMBAYE YUKO KWENYE CHANZO ACHUNGUZE ATAAMBIWA, RATIBA YA KUZURURA ZURURA, KULAMBA BIA NA KUTAFUNA KUKU WA WANANCHI MASIKINI IMEPANGWA. WATAKULA KUKU NA KUNYWA BIA UBENA, UPANGWA NA UKINGA. HIVI KWELI FEDHA HII YA KUWALIPA POSHO MAAFISA WOTE HAWA INATOKA WAPI. FIKIRI WATU 43 X 80,000/= X SIKU 12 ZA SAFARI UNAPATA NINI. jAZA MWENYE ONGEZA GHARAMA ZA MAFUTA, UCHAKAVU WA MAGARI, GHARAMA ZA VILEO NA UCHAFUZI MWINGINE. KUMBUKENI NCHI HII NI MASKINI HAINA HATA KIWANDA KIMOJA CHA MAJEMBE YA MKONO NA UCHUMI WAKE UNAPORMOKA TULIDHANI KATIBU MKUU HUYO BASI ANGEMHESHIMU WAZIRI WAKE MKUU NA KUACHA HARAKA MPANGO WA KWENDA KULA FEDHA ZA UMMA BILA KUJUA TIJA YAKE ITAKUWA NINI. NINAWAOMBA WANAHARAKATI, MZEE SLAA NA WENGINE SJHIKIENI BANGO JAMBO HILI WAACHE KUUHADAA UMMA. FEDHA HII IPELEKWE HOSPITALI YA MWANANYAMALA AU KWENYE MATIBABU YA MTOTO ALIYEZALIWA BILA FUVU/AMBAYE UTOSI WAKE UKO NJE HUKO SINGIDA. NADHANI MLISIKIA DAKTARI WA MKOA ROBERT SALIM ALIVYOKATA TAMAA NA KUONYESHA KUSHINDWA NAMNA YA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYO. SASA HUYU MAMA ALIYEPEWA DHAMANA NA UMMA KUSIMAMIA TAWALA ZA MIKOA ANGELIONA HILO NA KUPELEKA FEDHA HIZO HUKO BADALA YA KWENDA KUZIMWAGA JALALANI. TUNAUA TAIFA LETU BURE KWA MAMBO AMBAYO SI LAZIMA TUYAFANYE.
Nsaji Mpoki,
Ukipenda tusaidie, tupatie details zote zinazohitajika.Kwa bahati mbaya kibunge, ni lazima kuwa na ushahidi wa kutosha kabla hatujashughulikia jambo lolote.

Hivyo, ni vyema tukajua tarehe ya safari, maeneo yaliyotembelewa na nini kimefanyika, mathalan wamelala hoteli/guest gani kwa hakika na ikiwezekana na namba zake, namba ya magari yaliyotumika katika msafara huo, majina-angalau ya baadhi ya maofisa na vyeo vyao, kama kuna ushahidi wowote unaoonyesha malengo ya ziara hiyo.

Hiyo ndiyo inayoweza kuonyesha kuna ufisadi au la, na kama upo ni hatua gani tunatakiwa au tunaweza kuchukua.
 
Mkuu Dr. Slaa, heshima mbele.

Naomba kujua wewe mshahara/marupurupu/posho unayosema ni too much kwa wabunge, huwa unaifanyia nini?

Umewahi kuipokea ukala?
Kuhani,
Ukiona yanaenea, ujue yameundwa. Wabunge wa Chadema, tunapozunguka kuelimisha watanzania unadhani tumetumia nini? Badala ya kula na familia zetu, na kwa hili sijisifu, na ukitaka tazama rasilimali ninazomiliki ndipo utoe kauli hiyo. Hakuna asiye jua Dr. Slaa, alipoingia Bungeni alikuwaje, na leo yukoje?

Nadhani inatosheleza kwa hatua hii. kwa kifupi zinatumika kuwakomboa Watanzania.
 
Basi kama unapokea na "zinatumika kuwakomboa Watanzania" kwa nini unalalamika?

Maana unawaambia wabunge wenzako na Watanzania kuwa hizohela zibakie huko, zikalipe walimu na kujenga zahanati lakini wewe mwenyewe unaziondoa huko, unapokea! Unasema unazitumia vizuri, basi endelea kupokea.

Unazitumia kusafiri around the country kuwaelimisha Watanzania, kuwakomboa Watanzania. Ina maana hela ambazo unadhani hutakiwi kuzila, kuzigusa, unazifanya hela zako za matumizi, ni nauli, ni chakula cha njiani, unazichanganya na hela zako zingine. Hicho kitu kinaitwa commingling. Una commingle funds zako na funds ambazo unatuambia huzili, hutakiwi kuzigusa!

Ukitaka kuonyesha a higher degree of ethic and rectitude hebu acha ku commingle hizo hela, mrudishie Sitta. Sasa hivi kina Sitta hawawezi kujisuta moyoni kwa sababu wanaona na wewe unazila! Ukimwambia za kwako unazila na CHADEMA Sitta anakuona kituko!

Na wakati tunaongelea ya Bunge, jana umeulizwa na waandishi kuhusu msimamo wa Mbunge mwenzako Mwakyembe ukajibu swali lakini ulipoulizwa kuhusu Mbunge unaetofautiana nae ukakwepa, ukidai kwamba Zitto anaongoza Kamati ya Bunge, unasubiri ripoti yake. Kwani Mwakyembe haongozi Kamati ya Bunge ya Madini (naibu Mwenyekiti)? Mwakyembe kwani katoa ripoti? Si uli sapoti ya Mwakyembe uliyoyasikia kwenye media na unofficial conversations may be, sasa Zitto ndio kusema hujasikia msimamo wake?

Dr. Slaa, kwa lugha za mtaani tunasema shukuru hao waandishi feki hawawezi kumbana mbavu mwanasiasa.
 
Nilikuwa napitia magazeti ya bongo mtandaoni kupitia blog ya mshikaji kennedytz.blogspot.com,nikakutana na gazeti la Rai la tarehe 26 mwezi huu ambalo linaripoti kuwa mshahara wa mbunge wetu pamoja na malupulupu yake yote unafikia Tsh.6,000,000kwa mwezi!?(hebu pitia na wewe uone na mchanganuo hasa wa posho anayopata mbunge wa Tanzania.

Sasa nikajaribu ku-Google nione jinsi gani watanzania tunaripoti habari zinazohusu maslahi ya waheshimiwa wetu,na kwa kweli sikupata matokeo mengi sana.Habari hii inakuwa kama either ni mpya masikioni wa Watanzania,au ni kwamba kwa kweli watanzaia hatujui hasa waheshimiwa wanapata kiasi gani kama mishahara yao.

Sasa swali, je ni kwa sababu mishahara ya waheshimiwa haiwekwi wazi watanzania wajue au ni uzembe wa wanahabari wetu kutuhabarisha kuhusu swala hili?!

Nampongeza Mh.Slaa ambaye kwanza alitoka akatamka kiwango halisi cha mshahara anaopata mbunge,na pia kutaka kiwango hicho kipunguzwe kwani ni kikubwa mno na badala yake pesa hizo zitumike kufanyia shughuli nyingine za maendeleo,lakini sina uhakika how serious he is really kulisimamia hili,kwani kwa jinsi ninavyojua litakuwa ni swa la kelele za kisiasa tu.

Je anaweza kulifikisha likajadiliwa bungeni kwenyewe?!
Pia kingine nilichoona ni kwamaba eti Mh. spika kapangishiwa nyumba,na unajua pango lake ni kiasi gani?

Analipiwa Tsh.9,000,000 kwa mwezi!!!!Sikiliza sasa kichekesho, ambacho kinakutoa machozi,eti nyumba ya zamani iliyokuwa inatumika kwa makazi ya Spika aliuziwa Spika aliyetoka,kwa hiyo Spika aliyekuja akawa hana nyumba ya kukaa YENYE MAHADHI YA KIUSPIKA WA BUNGE.Na habari hii imethibitishwa na katibu wa bunge Dr.Kashilila.so waliuza nyumba ya Spika wakijua kabisa kuwa anyemfuatia hatakuwa na makazi! na sasa wamenunua kiwanja kujenga makazi ya kudumu ya Spika.

Hivi kweli vichwa vyetu vinafanya kazi au ndo funza wanapiga mark-time vichwani mwetu!!Anyway wadau mtalijadili hili kwa jinsi mnavyoliona..
Lakini Tanzania cha mtoto,kwani Mbunge wa Watani wetu wa jadi Kenya anapata sawa na zaidi ya Tsh.12,000,000 kwa mwezi!
HIVI TUTAFIKA KWELI?
 
Kuhani,
Mkuu wangu nadhani hapa tunashindwa kuelewa kitu kimoja muhimu sana.

Dr. Slaa anapolalamika ni mjumuiko wa fedha zote za bunge, mabillioni ambayo hayafanyi kazi inayotakiwa kulingana na malipo.

Yeye ni mmoja tu kati ya kundi zima, hivyo hata kama yeye anazitumia vizuri bado haijengi misingi ya matumizi ya fedha hizo kwa ujumla wake.. Akiziacha yeye itatusaidia nini sisi wananchi ikiwa wengine bado wamezima.. nini faida yake kwa mtu kama wewe... kumbuka tu kwamba Dr. Slaa anazungumza akiwakilisha hoja nzima kwa mapana yake hivyo ni lazima hoja iwe mishahara hiyo na sio Dr. Slaa...laa sivyo huwezi kuona ndani kabisa ya issue nzima.

Kama Bunge litaamua kupunguza mishahara na marupurupu haya. bila shaka zitafanya kazi ambayo Dr. Slaa anaifanya peke yake kwa kundi dogo sana la watu jambo ambalo haliwezi kuleta tija kitaifa.

Kwa hiyo nadhani jaribu kuliangalia swala zima nje ya Dr. Slaa utaweza kuelewa kwamba Dr. Slaa hawezi kuomba yeye mwenyewe aongezewe mshahara na marupurupu -atachekesha, kama unavyotaka aziache hizo anazopokea.

Muswada huwakilishwa kwa manufaa ya wote wahusika sio kundi au mtu mmoja mmoja..
 

Nilikuwa napitia magazeti ya bongo mtandaoni kupitia blog ya mshikaji kennedytz.blogspot.com,nikakutana na gazeti la Rai la tarehe 26 mwezi huu ambalo linaripoti kuwa mshahara wa mbunge wetu pamoja na malupulupu yake yote unafikia Tsh.6,000,000kwa mwezi!?(hebu pitia na wewe uone na mchanganuo hasa wa posho anayopata mbunge wa Tanzania.
Sasa nikajaribu ku-Google nione jinsi gani watanzania tunaripoti habari zinazohusu maslahi ya waheshimiwa wetu,na kwa kweli sikupata matokeo mengi sana.Habari hii inakuwa kama either ni mpya masikioni wa Watanzania,au ni kwamba kwa kweli watanzaia hatujui hasa waheshimiwa wanapata kiasi gani kama mishahara yao.Sasa swali,je ni kwa sababu mishahara ya waheshimiwa haiwekwi wazi watanzania wajue au ni uzembe wa wanahabari wetu kutuhabarisha kuhusu swala hili?!
Nampongeza Mh.Slaa ambaye kwanza alitoka akatamka kiwango halisi cha mshahara anaopata mbunge,na pia kutaka kiwango hicho kipunguzwe kwani ni kikubwa mno na badala yake pesa hizo zitumike kufanyia shughuli nyingine za maendeleo,lakini sina uhakika how serious he is really kulisimamia hili,kwani kwa jinsi ninavyojua litakuwa ni swa la kelele za kisiasa tu.Je anaweza kulifikisha likajadiliwa bungeni kwenyewe?!
Pia kingine nilichoona ni kwamaba eti Mh. spika kapangishiwa nyumba,na unajua pango lake ni kiasi gani?!Analipiwa Tsh.9,000,000 kwa mwezi!!!!Sikiliza sasa kichekesho,ambacho kinakutoa machozi,eti nyumba ya zamani iliyokuwa inatumika kwa makazi ya Spika aliuziwa Spika aliyetoka,kwa hiyo Spika aliyekuja akawa hana nyumba ya kukaa YENYE MAHADHI YA KIUSPIKA WA BUNGE.Na habari hii imethibitishwa na katibu wa bunge Dr.Kashilila.so waliuza nyumba ya Spika wakijua kabisa kuwa anyemfuatia hatakuwa na makazi! na sasa wamenunua kiwanja kujenga makazi ya kudumu ya Spika..!Hivi kweli vichwa vyetu vinafanya kazi au ndo funza wanapiga mark-time vichwani mwetu!!Anyway wadau mtalijadili hili kwa jinsi mnavyoliona..
Lakini Tanzania cha mtoto,kwani Mbunge wa Watani wetu wa jadi Kenya anapata sawa na zaidi ya Tsh.12,000,000 kwa mwezi!!!!!
HIVI TUTAFIKA KWELI??????????

Hawa wenzetu wa Kenya pesa yao iko juu na hivyo quotation zao za kugharamia zinakuwa kubwa sasa ikifananisha kashilingi chetu lazima zipande hivyo.

Hawa vigogo hufananisha malipo kwa vigezo vya watu wengine bila kujali umasikini wetu wala kuwa wenzetu wanazifanyia kazi hizo pesa.

Usawa unaopigiwa kelele uko wapi nchi hii ikiwa wengine mpaka watishie migomo ndio waengezewe decimal wakati wengine wanakaa na kujiamulia kulipanana kirohoroho kama hivi?
 

- Nyumba ya uwt ipo Dar mkuu, mbunge toka lini akakaa nyumba ya uwt? Wewe huoni kuwa ni mauza uza hayo, unaonekana kumjua vizuri sasa vipi hujui Dar anaishi wapi mkuu? Nyumba ipo Obey mkuu, unaijua nyumba aliyokuwa kiishi Mzee Mzena zamani kabla ya kuhamia Regent?

FMES!

Anakaa bure au anailipia?
 
Kuhani,
Ukiona yanaenea, ujue yameundwa. Wabunge wa Chadema, tunapozunguka kuelimisha watanzania unadhani tumetumia nini? Badala ya kula na familia zetu, na kwa hili sijisifu, na ukitaka tazama rasilimali ninazomiliki ndipo utoe kauli hiyo. Hakuna asiye jua Dr. Slaa, alipoingia Bungeni alikuwaje, na leo yukoje? Nadhani inatosheleza kwa hatua hii. kwa kifupi zinatumika kuwakomboa Watanzania.

Wewe mwenyewe si system? mbona husemi habari zako za vinasa sauti iliishaje?
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom