Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mshahara wake ni $192,000 kwa mwaka sawa na milioni 444,288 kwa mwaka na mshahara ndiyo pia alikuwa akipata Kikwete. Kutokana na siri kubwa ya mshahara huu si ajabu umeshaongezwa kimya kimya maana ungepunguzwa jamaa anavyopenda sifa angeweka hadharani.
Mshahara wa raisi c alisemaga ni 15M kwa mwezi.
 
Honestly Rais wa Tanzania kulipwa 9m ni kudhalilisha taasisi husika, binafsi sitaki kuamini km jiwe analipwa pesa hiyo!

For rumors ni Kwamba Tanzania president is on the highly paid Presidents in Africa!
Hata kama angepewa tsh 100000 (laki moja kwa mwezi) bado ingekuwa nyingi sana kwa hayo marupu rupu anayoyapata.
 
Kwa jinsi hawa jamaa wanavyolipana mishahara mikubwa alafu wengine tumesoma ma degree yetu tena ya Engineering na Medical na kwa garama kubwa lkn bado tunasota mitaani hatuna kazi ili hali taasisi kibao zinauhitaji lkn hawawezi kutuajiri kisa tuu Hamna fungu LA kutulipa.

siku mungu atakapo nichukua nikiwakuta mbinguni nitarudi huko. Haiwezekani MTU anajifanya yeye ni mnyonge kutulobesha tuu ili hali yeye ndio ameshikilia utajiri wetu alafu watu wanamsifia eti kajenga barabara kwani amejenga kwa pesa zake au ni pesa zetu ni sawa na baba hapo nyumbani ameuza ng'ombe ambaye wewe ndio unamkatia majani kila siku alafu anakuja na sukari kg1 wewe unamshangilia na kumuona wa maana haiwezekani kabisa.

Nimeandika mchanganyiko bila nukta maana ninahasira na ninamengi ya kuandika nashindwa kujua nianzie wapi.
 
Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?

Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.

Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Uongozi ni wito ila kwa sasa imekua ajira ambayo watu wanauana,wanatekana na kuumizana kwa kulinda nafasi zao kwa maana wanaamini wamekosa asili hiyo na wanafosi kwaajili ya mishahara tuu na ndio madhaifu yanapoanzai
 
Niliona hapa, kama sikosei kwenye topic moja kuhusu mkapa, mdau moja alisema mshahara wa rais ni $12,000 kwa mwezi.

Kama nimekosea naomba nirekebishwe
Muwe mnaweka fedha za kitanzania wazee mambo ya dola tunachanganyana
 
Sahihi kabisa mkuu,lakini pia ni Africa Nzima

giphy.gif
 
Back
Top Bottom