Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Honestly Rais wa Tanzania kulipwa 9m ni kudhalilisha taasisi husika, binafsi sitaki kuamini km jiwe analipwa pesa hiyo!

For rumors ni Kwamba Tanzania president is on the highly paid Presidents in Africa!
Mishahara ya viongozi wetu Wa siasa ni kidogo sana
 
ingekua ni vyema sana ungetoa na lengo la kutaka kujua iyo mishahara. ila kwa kifupi kujua kwako au kwetu kuna asilimia kupelekea kutokea kwa mtafaruku hivyo sio vyema kujua.
 
Kuna mtu TANZANIA analipwa milioni 5 kwa mwezi
Anapewa ulinzi bure
Anatembelea gari za serikari
Anatibiwa bure
Hakatwi kodi yoyote ile
Ila sasa kuna walimu wanalipwa 400.000(lakin NNE)
Anaishi kwenye nyumba ya kupanga
Anakatwa kodi kama zote vile
Anadaiwa na
Bodi ya mkopo
Nssf
Chama cha walimu
Labda na NMB or CRDB (Mkopo wa kumalizia kibanda chake)
Humu humo utakutana na Tala au branch (wakati mshahara ulipochelewa kutoka)
Alafu unampa nyongeza ya sh 5000 kiukwel life is not fair jaman
Hii ni kweli
 
Halafu akistaafu mafao yake hapaewi kwa wakati na pengine yalikopwa na walewale wa milioni 5 na pengine wasizirudishe
Kuna mtu TANZANIA analipwa milioni 5 kwa mwezi
Anapewa ulinzi bure
Anatembelea gari za serikari
Anatibiwa bure
Hakatwi kodi yoyote ile
Ila sasa kuna walimu wanalipwa 400.000(lakin NNE)
Anaishi kwenye nyumba ya kupanga
Anakatwa kodi kama zote vile
Anadaiwa na
Bodi ya mkopo
Nssf
Chama cha walimu
Labda na NMB or CRDB (Mkopo wa kumalizia kibanda chake)
Humu humo utakutana na Tala au branch (wakati mshahara ulipochelewa kutoka)
Alafu unampa nyongeza ya sh 5000 kiukwel life is not fair jaman
 
this information should be publicly available. salaries of all officials, all who are at the top!
 
this information should be publicly available. salaries of all officials, all who are at the top!
Once given the opportunity to serve in one of those offices, i doubt if you're still going to have the same mind, regarding publicizing your salary.
 
Swali zuri sana na nadhani Ikulu watakapo kamilisha site yao ni vizuri wakiziweka habari hizi wazi kwa wananchi kuziona... Waajiriwa wote wateuliwa na rais ni vizuri tukifahamu mishahara yao!
Ni kweli, lakini sio kwa Tanzania hii. Na hapa ndipo watu wanapata kiu ya kusukuma accountability in public entities and positions. Haya yote yanakuwa addressed na katiba mpya
 
ingekua ni vyema sana ungetoa na lengo la kutaka kujua iyo mishahara. ila kwa kifupi kujua kwako au kwetu kuna asilimia kupelekea kutokea kwa mtafaruku hivyo sio vyema kujua.
Mpaka leo mwanajf bado hajui maana ya uongozi bora na uwazi!!!
Inasikitisha sana
 
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Ili iweje?
 
Inabidi kwanza tuachane na utaratibu wa wabunge kujiidhinishia maslahi yao wenyewe; hii haiendani na mantiki yeyote ya kawaida, achalia mbali utawala bora!
Mayu kweli mwanadamu si mtu wakumwamini hata kidogo.
Usaliti wako kwa Iramba haujasahaulika na hautasahaulika
 
Inabidi kwanza tuachane na utaratibu wa wabunge kujiidhinishia maslahi yao wenyewe; hii haiendani na mantiki yeyote ya kawaida, achalia mbali utawala bora!
Nasikia unaenda kugombea ubunge, najua utashinda. Ukiingia bungeni anza na hii hoja.
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom