Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Nenda Kwenye jarida la fobes huko ndio utakuta mishahara ya viongozi wengi wakiwemo wakuu wa nchi cha kufanya we andika title na jina la unaetaka kujua salary yake yani mpaka housegirl wa Magu utakuta salary yake imeorodheshwa
 
Breakdown............

Bei ya Mafuta katika vituo vya mafuta ni kati ya shilingi 1,200 kwa jiji la Dar es Salaam na shiling 1,500 kwa mji wa Musoma, Mbunge amekuwa akipata lita moja ya mafuta kwa shilingi 2,500 ikiwa ni shilingi elfu moja juu zaidi kwa gharama ya Musoma ambayo ni mji wenye bei ya juu ya mafuta aina ya petroli.

Kama hiyo haitoshi, Mbunge mmoja anapatiwa Lita 1,000 za mafuta kila mwezi ambapo kiasi hicho ni sawa na Sh 2,500,000. Licha ya fedha hizo, kila Mbunge sasa anapewa asilimia 40 ya fedha hizo kwa ajili ya matengenezo ya magari yao, kiasi ambacho ni sawa na Sh 1,000,000.

Kiasi hicho cha fedha ni mbali na Sh 765,000 kwa ajili ya matumizi ya ofisi yake kwa mwezi, na pia anapatiwa mshahara wa dereva kiasi cha Sh 100,000 kila mwezi.

Malipo haya hayaisihii hapo, bali mbunge sasa anapata Sh 300,000 kama posho kwa ajili ya dereva wake kila mwezi kwa ajili ya kutembelea jimbo. Kwa maana hiyo dereva wa Mbunge anapaswa kulipwa Sh 400,000 kila mwezi kutoka kwa Mbunge.

Mbunge pia anapewa kiasi cha Sh 45,000 kila siku kwa muda wa siku 10, ambapo anapaswa kutumia fedha hizo kutembelea jimbo kila mwezi. Kwa ajili ya kazi hii jumla anapewa Sh 450,000 kila mwezi kwa ajili ya kutembeelea jimbo.

Mshahara wa mbunge nao umeogezeka sasa kutoka Sh 1,200,000Sh 1,800,000. Jumla kwa mwezi Mbunge anapata Sh 6,915,000 kutoka serikalini.

Magari hayo wanayoendesha wabunge kila miaka mitano huwa wanakopesha Sh 40,000,000 kwa ajili ya kununua gari analotumia kwa muda wote wa miaka mitano anayokuwa bungeni.

Hata hivyo, wabunge wanapata mafao zaidi ya hayo kwani kwa muda wanaokuwa bungeni hupata posho za vikao kwa wastani wa Sh 100,000 kila siku na hiyo haiesabiki katika sehemu ya malipo yaliyotajwa hapo juu.

Bunge linalipa $ 7,000 kila mwezi kwa ajili ya nyumba anayoishi Spika wa Bunge, Samwel Sita. Nyumba ipo Masaki. Nyumba iliyokuwapo awali, ilinunuliwa na Spika wa Bunge aliyemaliza muda wake, Pius Msekwa.

Hiii hataree
 
Kama ckosei kipindi cha campaign Lowasa alisema kwamba atapunguza mshahara wa rais toka milioni mia nne hadi milioni mbili kwa mwezi.
 
Ya zamani sana hii. Maana mkopo wa gari ni mil.90,000,000/- ambazo wamezipokea kwa shingo upande, walitaka wapewe mil.135,000,000/-.

Pia mshahara na marupurupu yanafikia 12,000,000/- kwa mwezi
 
Uzi hauwezi kuendelea kwa sababu idadi ya watu walio wajinga ni kubwa mno.
Baba hii thread ndio kwanza inaanza hii sinema bado mpya kabisa, Magufuli amekaliliwa akisema mshahara wake ni milioni 9.5. Kaingia mwenyewe kichwakichwa sasa tutajuwa yale waliyotuficha kwa miaka yote hii.

Kikwete ahojiwe kwa mshahara huu mali zote na maghorofa anayomiliki pesa ametowa wapi? Hii sinema bado ipo location.
 
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?

Mshahara wa rais ni million 9.5
 
Home shopping centre
 
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Vipi! Ni mdogo au?!,maana ulivyouliza_
Kwani vipi mbona unataka sana kujua?! Unaandika kitabu?

Acha kuongeza stress, Fanya kama unapuuza hivi_maana najua haitasaidia chochote hata ikijulikana, still wana nguvu kukuzidi
 
Its seems mshahara Marcio Maximo ni mkubwa kuliko hata Rais!
Mwenyewe nimeshangaa! Yaani ilikuwa bado kidogo tu ada ya Harvad iufikie! Then Ronaldo anapata huo kwa wiki! Anyway!_ kibongobongo ni pesa ndefu kiasi chake lakini
 
Na kwanini wawe wanaonyesha digit zao kwa dola za kimarekani!?
Au kwakuwa wanajua watanzania wengi hawaelewi dola na rate zake kwa tshs ?
Duh!!
 
Kwa posting yako inaonekana hata wewe hujui kama mimi...
Eniwei..mi nadhani kwa vile mishahara yao inalipwa kutokana na kodi za watu waliowapa dhamana ya kuongoza ni muhimu taarifa za malipo yao kuwekwa hadharani.
Kwa mujibu wa Mtandao wa MyWage Rais Magufuli wa Tanzania analipwa kama ifuatavyo.
Annual (Kwa Mwaka)Tzs.422,135,637.00. Monthly(Kwa Mwezi):Tzs. 35,178,053.00. Weekly(Kwa Wiki):Tzs 8,118,012.00. Daily(Kwa Siku):Tzs 1,156,539.00
 
Back
Top Bottom