Mishahara ya mwezi wa 9 haijatoka Igunga!

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
12,012
6,767
Ikiwa ni siku ya 4 tangu tuanze mwezi wa 10, wa2mishi wa selikali hapa wilayani wanaendelea kupitia hali ngumu ya maisha kwani mishahara ya mwezi jana haijatoka! na hakuna sababu ya msingi iliyotolewa na wahusika. Swali, je, sababu ya kuchelewa mishahara inahusiana na harakati za kisiasa hapo wilayan?
 
CHADEMA kilivyolazimisha CCM kuazima bila idhini fedha kiasi cha bilioni 2.5 sasa ndio unafikiri mishahara itoke wapi??????

Ngoja makali ya maisha yapande tena maradufu kutokana na fedha kibao zilizomwangwa kwenye mzunguko wetu wa fedha huko Igunga bila watu kuzifanyia kazi hizo fedha

Mzee Benno Ndulu hebu tumimie takwimu mpaka watu tuchanganyikiwe jinsi gani uchumi wetu unavyonawiri uzuri; karibu jukwaani mkuu.
 
sio tu igunga bali katika idara nyingi na mashirika ya serekali bado mpaka usawa huu nio tatu bila. Kafumu oyeeee!!!!
 
CHADEMA kilivyolazimisha CCM kuazima bila idhini fedha kiasi cha bilioni 2.5 sasa ndio unafikiri mishahara itoke wapi??????

Ngoja makali ya maisha yapande tena maradufu kutokana na fedha kibao zilizomwangwa kwenye mzunguko wetu wa fedha huko Igunga bila watu kuzifanyia kazi hizo fedha

Mzee Benno Ndulu hebu tumimie takwimu mpaka watu tuchanganyikiwe jinsi gani uchumi wetu unavyonawiri uzuri; karibu jukwaani mkuu.
unamaanisha mishahara iliingizwa kwn kampeni?
 
afu ndo kuna mazuzu humu yanasema CDM imetumia gharama kubwa na imekosa! mshahara kitu gani, vipi kuhusu DHURUMA kubwa waliyofanya CCM kwa wananchi wa Igunga,mbinu chafu za kishetani, kuzini na wake za watu(mwigulu nchemba) i!sema hatujui tu pengine wametumia mpaka ndumba za kutoa kafara
 
Back
Top Bottom