tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Habari zenu wadau? Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko ya watu kuhusu Wahindi MeTL wakiwemo, malalamiko haya ni kuhusu mishahara midogo na kutoheshimu proffession. Nimeshuhudia injinia akianza na mshahara wa laki tatu, vilevile kuna jamaa alikuwa upande wa sales na ameacha. Jamani anayewafahamu vizuri hawa MeTL, level ya degree ni Tsh. ngapi? Au huwa inategemea na bargaining ya mtu husika?