VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Hadi leo tar. 2 ya mwezi huu,mishahara ya mwezi Novemba bado haijatoka. Si kwa wenye akaunti kwenye Benki ya Makabwela,Benki ya Taifa ya Biashara,Benki ya Maendeleo Vijijini wala kwingineko kulikoeleweka. Wafanyakazi wako kimya. Vyama vya Wafanyakazi vipo kimya. Mwajiri yuko kimya. Mchezo unaendelea...