Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Wananch wenzangu ni masikio yangu ama.hivi suala la kuongeza mishahara mbona.kimya
Huwa yanatangaziwa wapi?Huwa wanatangaza ila hawasemi kiasi gani,Mwaka ujao wa fedha hakuna nyongeza ndio maana hawajatangazaMabadiliko ya mishahara huwa hayatangazwi ktk bajeti
Hapo hutaja fungu au % ya nyongeza ya mshahara,isipokuwa baadae waraka hutolewa kipelekwa maofisiniNaomba kueleweshwa hapo, huwa wanatangazaje bila kutaja kiasi?
Tuwe wapole tu..... Vitu hivi hutia Sana presha mwanzoni
Fungu limeongezeka kwa sababu kuna vyeo vinashikiliwa na watu wawili, mf. Mungu + Siro na wale wanaosubiri kupangiwa kazi nyingineMshahara unatosha mkuu. Teh teh
Huwa haitangazwi. Angalia fungu la mishahara limeongezeka shilingi ngapi Ukilinganisha na mwaka uliopita ndio ugawanye.