Mishahara serikali mbona kimya mpaka leo?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,319
Jamani hii serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?

Leo tarehe 30/12/2013 hakuna mishahara!

Nini kinaendekea katika hili?
 
Mkuu umejisahau sishangai koz wewe sio wa kwanza.kuna jamaa wangu wa karibu anasema mshahara hautoki tu?wakati umeshatoka kitambo.alipoambiwa na rafiki yake wa karbu kwamba hela zimeshatoka na wamekwenda kudroo 25.12.2013.jamaa ameshangaa na kutoa mimacho tu.chezea maandilizi ya x.mas weweeee!!now new year is coming.sasa majanga.
 
Sorry wadau nna swali. Eti ni benki gani nzuri kutumia kwa ajili ya kuchukulia mshahara ambapo pesa inawahi kuingia kwa watumishi wa umma kati ya NmB na Crdb ?
 
Back
Top Bottom