Mishahara mipya:-

kamkoda

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
396
71
Wadau wa wenye mkeka rasmi unaoainisha mishahara mipya ya 2013 naomba tafadhali...sio gazeti lakini.
 
Wadau wa wenye mkeka rasmi unaoainisha mishahara mipya ya 2013 naomba tafadhali...sio gazeti lakini.
mi nilifikiri unatuletea hizo scale mpya....kumbe na wewe unauliza, hakukuwa na haja ya kukimbilia kuandika huu uzi kama huna cha kutuambia.
 
Namsikiliza huyu jamaa sasa ameshakua mwanasiasa hana alilolisema hadi sasa ni yaleyale tu.
 
Tunasubiri wachezeshe droo, hapo utasikia secta hii %kadhaa ile %kadhaa wengine high potential wengine less potential
 
Wadau wa wenye mkeka rasmi unaoainisha mishahara mipya ya 2013 naomba tafadhali...sio gazeti lakini.

Tulia ndugu, unajitia preshe bure kwa kuwaza vichele vya tanzania visivyo na kichwa wala miguu! We jipange tu na bajeti zako za ugali kwa kachumbari ziendelee. Unatarajia nini cha ajabu kutoka kwenye bajeti hii ya walafi?? wakupe wewe ili nawe ule kuku?!!! Hakuna jipya, we subiri mwezi wa saba, kuongezewa kodi ya nyumba na bei za vyakula/vinywaji.
 
usitarajie kujua hlo.we subiri mwisho wa mwezi wa 7 cheki buku thelathini yako nyongeza.ukiona haikutoshi andamana ingawa mtachimbwa mkwara cku ya pili mko kazini.
 
tulia ndugu, unajitia preshe bure kwa kuwaza vichele vya tanzania visivyo na kichwa wala miguu! We jipange tu na bajeti zako za ugali kwa kachumbari ziendelee. Unatarajia nini cha ajabu kutoka kwenye bajeti hii ya walafi?? Wakupe wewe ili nawe ule kuku?!!! Hakuna jipya, we subiri mwezi wa saba, kuongezewa kodi ya nyumba na bei za vyakula/vinywaji.
na ada za shule, mmmhu. Kufa hatufi ila cha mtema ndo tunaendelea kukiona tuuu. Eeeh mungu saidia nyonge yako sisi
 
na ada za shule, mmmhu. Kufa hatufi ila cha mtema ndo tunaendelea kukiona tuuu. Eeeh mungu saidia nyonge yako sisi

Jitie nguvu mpendwa, Simama kwenye nafasi yako ukipanga bajeti zako kwa vipesa hivyo hivyo unavyopata ukimuomba Mungu akujalie uweze kusomesha, tunza familia na hata kuozesha wanao na kufurahia maisha kwa kazi ya mikono yako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom