Mishahara mipya vyuo vikuu vya umma ni longo longo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara mipya vyuo vikuu vya umma ni longo longo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tonge, Oct 28, 2010.

 1. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  NI MIEZI MINNE SASA WANAZUONI WA VYUO VYA UMMA HAWAJAPATA MISHAHARA MIPYA,NAWAZA LABDA WAO SI MUHIMU KAMA WATUMISHI WENGINE WALIOKWISHA KUPATA.

  JAMA WANAFUNZI HAWATAPIGA KURA NA WAHADHIRI WAO HAWAJALIPWA MISHAHARA YAO MIPYA, DAAAAH KWELI NCHI NI WANA SIASA SIO WATAALAMU.BASI NGOJA TUMPE PILAU YULE ATAKAYE TUJALI MAANA WENGINE WAMEKULA NDIZI ZETU SASA WANATUPIGA NA MAGANDA.:sad:
   
 2. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sio mishahara tu, hata ile ahdi ya kushughulikia mafao yao kabla bunge lililopita kuisha halieleweki tena. Wahadhiri walitishia kugoma, wakadanganywa kuwa suala lao litapatiwa ufumbuzi kabal ya bunge kuvunjwa lakini hola matokeo yake wakaanza kutishwa kuwa vyama vyao vilivyo organize mgomo ni vya kitaaluma tu na havina nguvu kisheria kuitisha mgomo! Natoa wito kwao, kuwa sababu, nia na uwezo wa kuiweka serkali inayojali maslahi yao wanayo na niwakumbushe tu kuwa If you love something dearly, sometimes you have to let it go, najua wengi wao wanaipenda CCM (kwa maslahi yao binafsi) lakini it is high time now they let CCM Go! wahadhiri pigieni kura mabadiliko!
   
 3. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Acha propaganda wewe. Hivi umeanza kufanya kazi vyuo vikuu lini? Unakumbuka huko nyuma ilikuwaje? Au ndio kwanza umeingia huko ulipo?
   
 4. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha kuishi kwa historia ndugu yangu, mi sina haja kujua hapo zamani ilikuwaje kwani hio hainihusu, kinachonihusu ni matabaka ya ulipwaji wa mishahara kwa watumishi wa serikali, mi si mtumishi wa chuo chochote ila ni mkereketwa wa maslahi ya watanzania wenzangu ikiwemo wahadhili, madaktari muhimbili na kadhalika na hii ni mifano tu ya waadhilika wa matabaka kwenye malipo ya mishahara.Kama hii post ni pumba kwako sio lazima uchangie wewe MDANGANYIKA unaishi kwa historia.:bowl:
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Usiturushe roho ndugu. Mishahara mipya mwezi kesho
   
 6. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Hahahahaaaa Kingi, kila siku mnaambiwa mwezi ujao mwisho mwakaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Luk very nchi ni ya wanasiasa kaka.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  I wish your government would in the first place revisit the terminal benefits protocol for higher learning staffs. this would be more important than the annual (fixed) increment which in most ( if not all) cases doesn't exceed the annual inflation rate.:A S angry:
   
 8. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Kumbe hata wasomi hawana uhuru wa kuweza kuweka hata majina yao kamili hapa JF, Sasa itakuwaje kwa watu tusioenda shule? nilijua nyie mnajua hata na tusheria amabayo imeandikwa kwa lugha mnayo fundishia, lakini waoga kama mimi ambaye siwezi hata kuandika lugha ya ungenge. Gama hata wewe unaogopa mkuu? Ndugfu yangu kilembwe unaogopa nini? Si una uhuru wa kutoa maoni, waogopa nini? unakuwa sawa na waandishi wa habari wanaondika habari imeandikwa na mwandishi wetu. Asanteni, tukasome tena katiba vizuri.
   
 9. M

  Mkerio Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2006
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo wanajua kuwa wakiwalipa kura mtampa Dr Slaa anyway kwa hiyo mnakuwa hamna umuhimu. Tuwaadhibu, tumchague Dr Slaa alete mapinduzi na umakini serikalini.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  in ur opinion, what did those contributors ( u mentioned) worry about?!. What dd u expect from them?. Cant u contribute responsibly?
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  Ni hasira za JK na CCM yake kwa wasomi hao kuwaunga mkono Chadema na haswa Dr. Slaa.....lakini mkombozi karibu tutamvika joho hivi karibuni.........
   
Loading...