Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Ni hivi ni Sheria kwamba mtumishi anapata salary increament Kila mwaka kwa Tz hutolewa Kila July. Hi inatofautiana kulingana na mshahara wa mtumishi. Sasa mwaka 2016 na 2017 hazijatolewa kinyume na Sheria. Kwa hivi ni lazima zirejeshwe kwanza ndipo nyongeza itolewe. Isijekuwa unaambiwa mshahara umeongezwa Kimberly umerejeshewa tu increament uliyopokonywa. Vyama vya wafanyakazi hapa vimelala
Wengi hawalifikirii hili mkuu.
2020 itabidi tubuni namna ya kujikomboa.
 
Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.

Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.

Ahsanteni,nawasilisha!!
Swali lako halijajibiwa ndugu.
 
Back
Top Bottom