Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Natabiri Ongezeko la elfu 10, 6, 100, ... range hizo za kipuuzi! Unamsoma mtu anayetoa nyongeza na uhusiano wake na wafanyakazi. Is he friendly? NO, a big NO!
Maneno aliyotamka siku ya Mkutano wa ALAT na maneno aliyoyatamka siku ya kilele cha mbio za mwenge 14 Oct
 
Acha uongo wewe...900 tu ndo imeongezwa na itapendeza zaidi
Nipo halmshauri hapa na bwana utumishi now, nyongeza ni 183,921 (one hundred eighty three thousand nine hundred twenty one only?)

Najua wengi won't believe lakini ndiyo baba J keshaamua hivyo..
 
Mishahara ni haki yetu hata mkitoa maneno ya dhihaka tunastahili nyongeza za mishahara uhaini tunaofanyiwa siku tukijiongezea wenyewe msilalamike

Kuna watu mnajifanya wasemaji wa serikali hata mkisema Kwa kutumia vipaza sauti na masipika Kwa matarumbeta nyengeza ya mishahara ni haki ya kila mtumishi yeyeto kwenye serikali yoyote hata sekta binafsi

Kuna watu mnasema watumishi njaa Mara oooh hatuwekezi tunaishi Kwa kutegemea mishahara wewe unaesema haya ungekuwa umewekeza Tanzania ingekuwa mbali .

Watuongeze Tu hata 900 itapendeza salary zina viraka hatari
 
Si Katibu Mkuu Utumishi kasema ni watumishi elfu 59 tu ndio watapandishwa mishahara.. Sijui nyie mnabeba masikio kama mapambo tu
Umesema sahihi!
Katika Lugha rahisi

Hakuna Nyongeza hata ya nusu shilingi Ila kuna Promotion kwa wafanyakazi 59,967 pekee wa Kada mbali mbali. Kama haupo kwny orodha hiyo Basi Mshahara wako wa November na October unayofautiana kwa majina ya Miezi tu
 
yani hamuelekeweki kabisa kama huna data sahihi kwanini usikae kimya tu, kama umeandika utani hapa futeni.
 
Back
Top Bottom