Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,783
- 66,961
lakini serikali ya dr shikaNasikia imeongezwa elf 90
lakini serikali ya dr shikaNasikia imeongezwa elf 90
Komaa na huyu afsa utumishi akuambie hapa hutapata data sahihiSasa mbona Miluzi mingi mbwa anapotea!!Mara kaongeza 34500,Mara 90,000 mara 50,000!!
which is which????
Maneno aliyotamka siku ya Mkutano wa ALAT na maneno aliyoyatamka siku ya kilele cha mbio za mwenge 14 OctNatabiri Ongezeko la elfu 10, 6, 100, ... range hizo za kipuuzi! Unamsoma mtu anayetoa nyongeza na uhusiano wake na wafanyakazi. Is he friendly? NO, a big NO!
Ndio nazikusanyakusanya niingie Kiteto kulima msimu huu sasa katika bajeti zangu nahitaji kufahamu hili la nyongeza pia mkuu litanipa ka mwanga kidogo...Badala ya kuinvest unavizia vizia mishahara kuongezeka!!
Watu hawataamini macho yaoKomaa na huyu afsa utumishi akuambie hapa hutapata data sahihi
900 itapendeza zaidiSasa mbona Miluzi mingi mbwa anapotea!!Mara kaongeza 34500,Mara 90,000 mara 50,000!!
which is which????
Hahahahaa acha roho mbaya mkuu!900 itapendeza zaidi
Nipo halmshauri hapa na bwana utumishi now, nyongeza ni 183,921 (one hundred eighty three thousand nine hundred twenty one only?)
Najua wengi won't believe lakini ndiyo baba J keshaamua hivyo..
Hahaaah kweli mkuu....Hahahahaa acha roho mbaya mkuu!
We bwana una uhakika unacho kinena?Nipo halmshauri hapa na bwana utumishi now, nyongeza ni 183,921 (one hundred eighty three thousand nine hundred twenty one only?)
Najua wengi won't believe lakini ndiyo baba J keshaamua hivyo..
Umesema sahihi!Si Katibu Mkuu Utumishi kasema ni watumishi elfu 59 tu ndio watapandishwa mishahara.. Sijui nyie mnabeba masikio kama mapambo tu
Bwanawe huyu hata mi nna mashaka nae..sidhaniWe bwana una uhakika unacho kinena?