Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mr Adam Gella

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,327
660
Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.

Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.

Ahsanteni,nawasilisha!!
 
Nmemcheki Afisa utumishi mmoja wa halmashauri fulani kanda ya ziwa kanitonya kuna ka ongezeko 'kidogo' japo anakua mgumu sana kudadavua kiundani (scales)...sijui kwa nini
Sure mkuuu.. na mimi kuna afisa utumishi mmoja nilikutana nae nikamuuliza alicheka sana.ila akasema ni ndogo tu ndo imeongezwa bila kusema ni Kiasi gani...
Tujiandae kisaikolojia..
 
Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.

Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.

Ahsanteni,nawasilisha!!
Natabiri Ongezeko la elfu 10, 6, 100, ... range hizo za kipuuzi! Unamsoma mtu anayetoa nyongeza na uhusiano wake na wafanyakazi. Is he friendly? NO, a big NO!
 
Sure mkuuu.. na mimi kuna afisa utumishi mmoja nilikutana nae nikamuuliza alicheka sana.ila akasema ni ndogo tu ndo imeongezwa bila kusema ni Kiasi gani...
Tujiandae kisaikolojia..
Daah hehe ngoja tuone...nataa nimcheki huyu afisa utumishi baada ya muda majukumu yake,labda atakua katulia anipasulie sasa A-Z
 
Back
Top Bottom