Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?


Uzalendo Installer

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2014
Messages
2,217
Likes
1,794
Points
280
Uzalendo Installer

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2014
2,217 1,794 280
Imeongezeka asilimia 2 ya mshahara wako....mwalim wa primary mwenye 354000 kapata ongezeko la 7080
 
spinderella

spinderella

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Messages
1,075
Likes
1,173
Points
280
Age
46
spinderella

spinderella

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2016
1,075 1,173 280
Hahahaha kimyaa ka sio tarehe zetu vile...Chezea ongezeko la buku 7
Yaani watu wanaona bora mshahara uchelewe angalau uweze kufika January la sivyo hali itakuwa mbaya sana.
 
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Messages
8,416
Likes
2,050
Points
280
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2010
8,416 2,050 280
Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.

Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.

Ahsanteni,nawasilisha!!
Swali lako halijajibiwa ndugu.
 

Forum statistics

Threads 1,261,295
Members 485,110
Posts 30,085,437