Mishahara Mipya kwa Walimu Kuanzia Julai 1 2013

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Nimekuta hii ofs ya manispaa nkaona si mbaya zikija hapa kwa uhakika zaidi.Mweny uhakika tujuze zaid.Asante
WARAKA NO M/D20/CL524.......
YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU.

..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo -certificate Tgts D1=532450
-Diploma Tgts E1=692741
-Digree Tgts F1=852425

C C: halimashauri zote TANZANIA,Ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.
 
nimekuta hii ofs ya manispaa nkaona si mbaya zikija hapa kwa uhakika zaidi.mweny uhakika tujuze zaid.asante
waraka no m/d20/cl524.......
Yah.mabadiliko ya muundo wa utumishi na madaraja kwa waalimu.

..................waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo -certificate tgts d1=532450
-diploma tgts e1=692741
-digree tgts f1=852425

c c: Halimashauri zote tanzania,ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.

scan uweke hapa
 
mkuu tgts d unapoandika certificate unamaanisha nini , mbona kwa ngazi ya zamani mshahara wa wenye digri wengine ulikuwa unagradiwa hapo hapo kwenye tgts d . mwenye uelewa zaidi tunaomba ufafanuzi zaidi
 
Hizi taarifa zilianza siku nyingi hapa tunaitaji uhalisia sio teena kujazana mahopes na kwa muelekeo wa bajeti ya sasa ilivyo hilo swala ni ndoto
 
kama ndivyo basi inawezekana JK amekata mzizi wa fitina na walimu na atakuwa rafiki mkubwa wa Mkoba na Oluoch na CWT wote.Itakuwa kufuru la ajabu.inabidi waajiri daraja la kwanza na pili tu kama ndivyo siyo hawa vihiyo wengine failure kabisa
 
Nimekuta hii ofs ya manispaa nkaona si mbaya zikija hapa kwa uhakika zaidi.Mweny uhakika tujuze zaid.Asante
WARAKA NO M/D20/CL524.......
YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU.

..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo -certificate Tgts D1=532450
-Diploma Tgts E1=692741
-Digree Tgts F1=852425

C C: halimashauri zote TANZANIA,Ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.

wee ni mtuu wa ajabu sanaaa unaanzisha thread unaquate hadi figure zilizopo kwenye waraka halafu unatuuza mwenye uhakika atujuze zaidi. Haya ni matatizo ya product za vyuo na sekondari za kata
 
Nimekuta hii ofs ya manispaa nkaona si mbaya zikija hapa kwa uhakika zaidi.Mweny uhakika tujuze zaid.Asante
WARAKA NO M/D20/CL524.......
YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU.

..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo -certificate Tgts D1=532450
-Diploma Tgts E1=692741
-Digree Tgts F1=852425

C C: halimashauri zote TANZANIA,Ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.

Unabahati walimu tuko wachache hapa jf, la sivyo tungekutafuta kwa umoja mpaka ulipo na utuonyeshe hilo tangazo umelipata wapi.huwezi kuleta utani hapa wakati watu tuna njaa,na bado mgomo endelevu uko active.usichezee akili
zetu!
 
Inawezekana aisee maana hizi story nimezisikia muda sasa ila nikijaribu kuuliza.sniper wangu hawanipi ushirikiano, anyway time will tell
 
Waraka wa mishahara unataka tarehe 20/06/13 hizo nyengine porojo unless mtu a scan huo waraka auweke hapa.
 
Hakuna dhambi mbaya kama uongo...!!we jamaa na huu waraka wako usipothibitisha...lazma tukutafute utolewe kucha na meno.watu tunajaa kali alaf unaleta porojo!
 
Jamani hata mi toka jana nilitumiwa sms km hiyo, ila huo waraka sijauona. Inaweza ikawa kweli wenye taarifa mtujuze
 
Nimekuta hii ofs ya manispaa nkaona si mbaya zikija hapa kwa uhakika zaidi.Mweny uhakika tujuze zaid.Asante
WARAKA NO M/D20/CL524.......
YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU.

..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo -certificate Tgts D1=532450
-Diploma Tgts E1=692741
-Digree Tgts F1=852425

C C: halimashauri zote TANZANIA,Ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.
kweli maajabu hayatoisha na wewe ni moja ya hayo maajabu, hivi kweli kwa macho yako hyo barua umeiona, ukaisoma na deteils zake umeziattach hapa then still unauliza uhakika wake, hilo ni ajabu!!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom