chilonganir
Member
- Jun 21, 2013
- 56
- 2
inasikitisha kitendo cha serikali kutokutoa mishara mapema kwa watumishi wake hadi leo je tuamini kweli serikali haina pesa?watumishi wengi wameaibika au mnataka tuamini kuwa serikali inajari sana baadhi ya ckuku zingine na zingine bora ziende?