Mishahara imepandishwa kwa kiasi gani?

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Nimekuta hotuba ikiendelea ya Mei Mosi na sikusikia mahali Rais ametamka mishahara kupanda. Jamani kama kuna aliyesikia kama mishahara imepandishwa tafadhali atueleze imepandishwa kwa kiasi gani. Nitashukuru
 
Nil nil man..i have been tracking the speach frm its begining until its end, but nothing about salaries or wages,than only political idiologies.
 
Nimekuta hotuba ikiendelea ya Mei Mosi na sikusikia mahali Rais ametamka mishahara kupanda. Jamani kama kuna aliyesikia kama mishahara imepandishwa tafadhali atueleze imepandishwa kwa kiasi gani. Nitashukuru

pole mkuu.

wewe kama mimi. mimi nimekuja kushituka jamaa anasema kuna mambo hajayataja.
 
Kama hajaongeza Salary basi ni lazima mkakati wa ku-hold down Inflation uwekwe na uwe Implemented properly to ensure the cost of living is favourable.Kama angeongeza salary lazima pia ahakikishe kwamba there is a social-Economical strategy in place to contain inflation.Structure yetu ya uchumi iko weak and in disarray
 
Mi nachojua siku hizi huwa hataji kama kuna nyongeza ila huwa inaongezwa automatically tu, kuepuka waongeza bei bidhaa...maana wakisikia hivyo kila kitu hupandishwa. lets assume that.
 
Ameendelea na propaganda na sidhani kama kuna nehema sana uko july,

cha ajabu leo nimeshtuka tena kuona hotuba yake tofauti na za wawakilishi wengine ya JK haikuwa imeeandaliwa kufuata itifaki..wakati itifaki iliyokuwa ikitumika ilianza kwa kumtaja rais,jaji mkuu,....,iliyosomwa na Kikwete ilianza na Rais wa Tucta,waziri wa kazi,waziri wa utumishi,...kheee,kuona hivi JK akashtuka kidogo,akafoka ,mbona hotuba yangu haijazingatia itifaki kama za wengine?ikabidi aanze upya kwa kumtaja jaji mkuu,.....

Nikajiuliza hii ni kwa bahati mbaya ama ndo ishu zle zle za akina Rweyemamu?? kazi ipo!
 
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 1st May 2011
Posts : 3
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0

Nyakarungu,Karibu JamiiForums.com! Jisikie uko nyumbani.
 
Ameendelea na propaganda na sidhani kama kuna nehema sana uko july,

cha ajabu leo nimeshtuka tena kuona hotuba yake tofauti na za wawakilishi wengine ya JK haikuwa imeeandaliwa kufuata itifaki..wakati itifaki iliyokuwa ikitumika ilianza kwa kumtaja rais,jaji mkuu,....,iliyosomwa na Kikwete ilianza na Rais wa Tucta,waziri wa kazi,waziri wa utumishi,...kheee,kuona hivi JK akashtuka kidogo,akafoka ,mbona hotuba yangu haijazingatia itifaki kama za wengine?ikabidi aanze upya kwa kumtaja jaji mkuu,.....

Nikajiuliza hii ni kwa bahati mbaya ama ndo ishu zle zle za akina Rweyemamu?? kazi ipo!
Enh hii ni kweli? Basi kuna tatizo kubwa saana. Inamaana hapitii hotuba kabla ya kwenda kuhutubia? Kufoka pale hakutasaidia kitu kama kuwajibishana hakutakuwepo
 
Nimekuta hotuba ikiendelea ya Mei Mosi na sikusikia mahali Rais ametamka mishahara kupanda. Jamani kama kuna aliyesikia kama mishahara imepandishwa tafadhali atueleze imepandishwa kwa kiasi gani. Nitashukuru[/Q
Du!watu mna moyo bado mnasilikilazaga tuu huyu jamaa!
 
Mi nachojua siku hizi huwa hataji kama kuna nyongeza ila huwa inaongezwa automatically tu, kuepuka waongeza bei bidhaa...maana wakisikia hivyo kila kitu hupandishwa. lets assume that.

Miaka ya nyuma mbona ilikuwa inatajwa hadharani na bado vitu havikuwa vinapandishwa? nilifikiri leo ndo siku ya kufuta kauli ya mbayuwayu kumbe ameendelea na ubabaishaji uleule wa kuwasimulia watanzania hadithi za uchumi za ki abunuwasi
 
Wakuu kupanda kwa mishahara ni ndoto sana, acha kazi tafuta nyingine. Alishasema hamna wafanyakazi wagome vipi hamna hela ya kupandisha mishahara, ipo ya kulipa findia do-once tu
 
hata wasipo pandisha mambo ni yaleyale tu,isitoshe sisi walimu ndio kabisaaaaaaaaaa,ilimradi siku ziende mkono wa bwana kinywani
 
Mi nachojua siku hizi huwa hataji kama kuna nyongeza ila huwa inaongezwa automatically tu, kuepuka waongeza bei bidhaa...maana wakisikia hivyo kila kitu hupandishwa. lets assume that.

Unaota mchana ??? anavyopenda sifa :smile-big::smile-big:
 
Nilichoona mimi ni jaribio la huyu bwana kushusha mistari bila kudesa ila hakufika mbali alijikuta hata itifaki ameishindwa akaamua kurudia desa lake baada ya kujiadhibu mwenyewe kwa kujicheka na kisha kutangazia umma kwamba keshachemka.
 
Nilifikiri ameacha kale ka tabia ka kupiga simulizi za Kikwera badala ya kuhutubia mambo ya msingi.
Huyu jamaa kweli musanii!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mheshimiwa Rais amesema kuna political will kuhakikisha kwamba maslahi ya watumishi yanaboreshwa. So labda tusubiri mwezi july -mwaka mpya wa fedha utakapoanza.
 
Back
Top Bottom