Mishahara hutusaidia kufanya ndoto zetu kuwa kweli!!!

Mzee lengo si kupotosha ila ni kupeana live kwamba mambo sio mepesi namna hio. If it were easy kila mtu angefanya halafu sio kila mtu ana karama ya ufanyabiashara mzee.
Naelewa concern yako mkuu,

Tunafahamu kwamba sio watu wote wana interest ya biashara achilia mbali kufanya
Lengo ni kuwasaidia WANAOHITAJI kujikwamua kupitia biashara.

Ni kweli mambo si rahisi hata kidogo. Ukiamua kuwa mfanyabiashara jitoe kweli kweli, weka malengo, pambana, bana matumizi, omba kwa imani yako, tenga muda wa kujifunza.

Mimi ni mjasiriamali, nafeel ninachokisema.
 
ingekua hvo kila mtu angekua tajiri tukubali ukweli sio kila mtu anaeza kufanya bishara...

Na pia juhudi pekee hazitoshi kukufanya utoboe bahati pia ina nafasi yake kwny mapambano...



Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Yeah bahati ina role kubwa sana kwenye mafanikio ya mtu. Kuna mtu anaweza kuwa anafanya biashara vizuri kama Vunjabei toka kitambo ila hajatoboa. Hao akina Robby fashion akina Zizzou fashion mbona walianza freshi ila wamepitwa ghafla na dogo? Biashara context yake ni pana sana.
 
Wakati naacha ualimu ukoo mzima uliniona mjinga Sana,tena wanasema unaacha kazi uje kulima?wangapi tumefanya kilimo na maisha yetu yanazidi kudidimia? Nikalima nyanya nusu ekari,nikapata milioni 35 baasi gali likawakia hapo mpaka sasa naajili tu watu kwenye miladi yangu,kumbuka nilitoka na ka mkopo ka NMB.kwa hiyo hatma ya maisha yako iko kwenye akili yako
Yani nyanya nusu heka upate M35? Hizo nyanya ulikua unauza kiasi gani?
 
Ananiambia kama sio deni la HESLB angekuwa ameshaacha kazi na kufanya shughuli nyingine.

NB: Binafsi habari hizi nimekuwa nazipata kutoka kwa watu wengi walioajiriwa na kusema ukweli wanalalamika sana. Hasa katika serikali hii ya awamu ya 5.
Deni la heslb linamzuia vipi kuacha kazi?.
 
Back
Top Bottom