Misemo yenye utata kati ya abiria na Kinda..

WASIOPANDA DALADALA WANAKOSA UHONDO WA KAULI HIZI:
1) Nitakupa.
2) Atakupa mbele.
3) Hujapewa mbele?
4) Utapewa nyuma.
5) Nitakupa nikikaa vizuri.
6) Ngoja isimame nikupe.
7) Subiri asimamishe nikupe.
8) Hivi nilivyokaa nitakupaje?
9) Utapewa tulia.
10) Nikupe mara ngapi?
11) Msimpe nimeshampa huku mbele!
Acha "Makonda" wawe wakorofi na jeuri kwani sisi nasi abiria ni "Kero" Kwao.

Huyo huyo abiria asemaye subiri gari isimame nitakupa nauli yako, cha ajabu simu yake ikiita anaitoa toka mfuko huo huo na kupokea.

LUGHA ZAO HIZO SOMETIMES NI BURUDANI TOSHA KWA ABIRIA !!
 
Kwenye upande wa mizigo ndio shida kabisa
1.Wewe dada mwenye mzigo mkubwa weka vizuri mwenzio aingie
2. Unamzigo mkubwa sikubebi
3. Mzigo wako mkubwa ongeza hela
4. Mama na hilo pipa lako /mzigo wako unaenda wap
5. Pandisha mzigo huo tuamshe
6. Mpe mzigo yule mjomba pale mbele
7. Dereva tuchukue huyu mwenye limzigo/ kamzigo kadogo
 
Kwenye upande wa mizigo ndio shida kabisa
1.Wewe dada mwenye mzigo mkubwa weka vizuri mwenzio aingie
2. Unamzigo mkubwa sikubebi
3. Mzigo wako mkubwa ongeza hela
4. Mama na hilo pipa lako /mzigo wako unaenda wap
5. Pandisha mzigo huo tuamshe
6. Mpe mzigo yule mjomba pale mbele
7. Dereva tuchukue huyu mwenye limzigo/ kamzigo kadogo


Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kinda mmoja aliniambia

"Kalia ndoo"

Nikamwambia

haijasimama vizuri

Means inatikisika,

Walinicheka nkamaind baadae niliposhuka kuna mtani wangu nilipanda nae akanikumbushia nilivomjibu eti walimaanisha vingine nilichukiaaaaaaa! Nageuka kuiangalia daladala haupo.
Kalia ndoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom