Misemo ya mjini ambayo ina maana na mantiki kubwa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,656
31,423
Habari wana JF

Katika kuishi kwangu nimekutana na misemo mingi ya mjini, mingine ni yakizinguaji na mingine imejaa maana sana, kwakua hii ni forum ya wana jamii wenye uelewa naomba tushirikishane misemo yenya maana na mantiki zaidi. Hapa nchini nimejaribu kuorodhesha baadhi ya misemo yenya maana na mantiki kubwa:

1. Tuliza ball mpira pasi;
2. kuchapiwa ni siri ya ndani;
3. Uzee mwisho chalinze;
4. ......................................

Ieleweke kwamba misemo ya mjini si hekima za wahenga wetu kama vile methali la hasha ni ile misemo ya kimjini tu wa-KUU
 
Back
Top Bottom