Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
kipunde ni kini?
Kipunde ni kijaluba cha kuwekea ugoro. Kule upareni wanatumia vichupa vidogo au kitu kama kakibuyu. Bibi kizee utasikia anomba aletewe kipunde.kipunde ni kini?

kikwete-asiejali ????????

ndo maanaaa kumbe.....lol

nahavache nguruvi3. afu utuambie nguruvi maana yake nn!

hapo kwenye shemeji wa kike anaitwa 'mkwea'. yaani kaka wa mume wangu ni mkwea!

NGURUVII= KUKU WA KIUME
Ha ha ha ha! nimecheka flora! sasa kuku wa kiume si jogoo!!! wakike mtetea

NGURUVII= KUKU WA KIUME

Ha ha ha ha! nimecheka flora! sasa kuku wa kiume si jogoo!!! wakike mtetea

Anyway kuna kwa kabila lingine ikimaanisha mungu (watu 4 wamewasiliana nami kwa hilo)

King'asti ukezie va kwea vose, flora yavo ni msi wa mfumwa kutogolwa. Ivuga wemkundie ule m'bora ena izi ledi wa cloud
ai oo! m'bora uihate izihaka ni hanini? Ngondo ... ... lolhahaha,nguruvi nahavache. ighuo ni mtaso mtondo ni ndima. nikundie vakwea vose mira vena tabia mbivi! mira nnetasa mhaka vaoke vedi,lol
Ana roho mbaya kama mchawiEna ngoro mbivi tha mthavi...!!
ai oo! m'bora uihate izihaka ni hanini? Ngondo ... ... lol
Haiki kindu uthikiman'je uteta cha'ni?? Shigha mongoNikundie kimbare kwnrikweri mira nithimanya kukiteta, nethikia ukimanya kugaya kimbare unegara kithungu nedho kerikweri, NIKWERI?
Uitangwa ani?=unaitwa nani?Jakaya =Za Nyumbani
Kikwete = Asiyejali
Namnani Havae = Vipi Aisee
Uitwanga nani? = Unaitwa Nani?
Watonga wapi = Unaenda wapi
Nigavie Havae = Nigawie Aisee(Jamaa)
Nienda kukodhoa kidogo = Naenda kukojoa Kidogo
Harika!!! = Kuonesha Mshangao!
M'bora = Mwanamume (Mvulana)
M'bwange = Mwanamke (Msichana)
Shiga Du! =
Iki..
N'zhoo = Njoo
Uihate = umepakata, IzhaKa= Kama kile ktu cha kuwekea mishale(hapa ni silaha), ngondo=vitaaho he bold wan'shigha kadori,lol
afu ngondo ni ndima kana ni kini?
weeh unaongwa vigumu banaa
nakuogoha avae nguruvi
nimdaie- namchukia. Nikundie vabora vujewa jewa huvu' Lol
Nikundie kimbare kwnrikweri mira nithimanya kukiteta, nethikia ukimanya kugaya kimbare unegara kithungu nedho kerikweri, NIKWERI?
Comp. tuongee kijita nikueleze habari za akina wachamawe, waongera. Jah miru nja ksiraa n.k kutoka kule majita, Nyakatende na Mgango jineriEgaya chasu nedho mira etuira ni Mshamba wa Makorora, Ndanga!