Misemo ya Kipare :- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misemo ya Kipare :-

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Yo Yo, Aug 20, 2011.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Jakaya =Za Nyumbani

  Kikwete = Asiyejali

  Namnani Havae = Vipi Aisee

  Uitwanga nani? = Unaitwa Nani?

  Watonga wapi = Unaenda wapi

  Nigavie Havae = Nigawie Aisee(Jamaa)

  Nienda kukodhoa kidogo = Naenda kukojoa Kidogo

  Harika!!! = Kuonesha Mshangao!

  M'bora = Mwanamume (Mvulana)

  M'bwange = Mwanamke (Msichana)

  Shiga Du! =

  Iki..

  N'zhoo = Njoo
   
 2. Companero

  Companero Platinum Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mbora = msichana & Mbwange = Mvulana
  Mche=Mke/Kike & Mosi=Mme/Kiume
  Mlala/Mcheku=Mama/Mwanamke & Mghosi/Vava=Baba/Mwanaume
  Enga=Shangazi&Abu=Mjomba
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hapo huwa nachanganya Daily
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nasikia Kipare kidogo kilitaka kufanana na Kipemba.
   
 5. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Ena ngoro mbivi tha mthavi...!!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kikwete-asiejali ????????

  ndo maanaaa kumbe.....lol
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahaha... Mkuu hapo kwenye kikwete sio umechakachua kweli?..
   
 8. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  ja mithi = za siku
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nilielezwa na Wenyeji
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Shiga Du! Wenyeji Walinieleza Sweet
   
 11. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  JF kuna mambo, ufafanuzi

  Ja kaa= za nyumbani, hakuna neno kikwete hata kidogo

  Avae= jamaa! buddy,
  Namnani avae= namna gani jamaa! au mshikaji
  Uitangwa ani? Unaitwa nani
  Watonga hii= umekwenda wapi, utonga hii= unakwenda wapi, wetongie hii= ulikwenda wapi
  Kodhoa= haja ndogo
  Kadori = kidogo kwahiyo nienda kukodhoa kadori= nataka kujisaidia kidogo
  Shigha du= wee acha tu!

  Mla'mua = shemeji lakini ni wakiume, mfano nikioa dada yake The boss mimi ni mlaumua wake na yeye ni mlamua wangu. Haitumiki kwa mwanamke kwa namna yoyote ile. ukisikia mtu anasema fulani ni mlamua ujue ni wa kiume tu.

  Ambiere= baba mkwe au mkwe. mfano Mbimbinho akioa kabinti kangu yeye ni ambiere na mimi ni ambiere
  Mkembe= mlozi mwenzako. The Boss na Bambinho wakioa nyumba moja wanaitana mkembe

  Kiviere= ni mama mkwe, naye anamwita aliyeoa kiviere. Hili linatumiwa piwa na wasambaa au kule kwetu bonde, kivyee

  Nakunda= nimependa, ndiyo maana kuna majina ya Nakundaeli yaani kampenda mungu
  Nkundiwe= niliyependwa
  Haika= ahsante, haikaeli= ahsante mungu,
  Lukundo= upendo
  Navonewa= nimeona, navona hedi= nimeona pazuri

  Majina ya kipare ukiona lina eli mwisho ujue lina maana inayohusishwa na mungu. Pendaeli= penda mungu
  Chedieli = kizuri cha mungu, sifueli= msifuni mungu.
  Chedi ni kizuri, wedi ni mzuri hasa kwa binadamu

  Nakukunda kweri= nimekupenda sana,
  tugaye kadori= tuongee kidogo,
  nienda nikuvwire kindu= nataka kukuambia jambo,
  kindu chedi= jambo zuri,
  kindu cha lukundo= kitu cha upendo

  Hayaa! mshindwe nyie lakini ukisikia Nsienda au Nasua, au haiii! ondoa majeshi mpakani kajipange upya
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nahavache!
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,423
  Likes Received: 19,736
  Trophy Points: 280
  shiga mongo
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  shigha du=acha tuuu!
  <br />
  <br />
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  keba wamvira! kijana ena mwongo uuh tha kindu ani thimanya! lol!
  <br />
  <br />
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  nahavache nguruvi3. afu utuambie nguruvi maana yake nn!
  hapo kwenye shemeji wa kike anaitwa 'mkwea'. yaani kaka wa mume wangu ni mkwea!
   
 17. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  nimdaie- namchukia. Nikundie vabora vujewa jewa huvu' Lol
   
 18. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #18
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Hewaa! Mkwea ni shemeji wa kike, lakini neno Kwea= panda, ukiweka Mkwea ni mtendaji(mpandaji) hapa huwa inatatiza kweli kweli kama mnanifahamu...

  Nyika= ni mbali na nymbani, Mnyika= aliyetoka mbali na nyumbani(eneo la upare), kule Bukoba tunawaita Wanyamhanga.

  Wapare wapo katika makundi mawili, lile la kaskazini kule mwanga na wale wa Same. Wale wa mwanga wanatumia sana 'th' na wale wa same 's' bila kubadili maana. Ni kama kiingereza cha queen (subsidise) na US(subsidize). Uishangaae ukisikia mtu anasema 'Nsienda' na mwingine 'nthienda'.

  Kwa wengine matamshi tu na 'tonation' tunaweza kubaini ametoka sehemu gani ya upare. Wanasikilizana bila matatizo tofuati na sisi wachaga ambao ukituweka'diamond jubilee' hatuelewani. Sisi ni afadhali tungeitwa Shirikisho la wachaga(anyway hiyo ni next topic)

  Kipare kinaingiliana na kisambaa kwa ukaribu zaidi na mchanganyiko wa wapare na wasambaa unatoa kiru kinaitwa Wambugu ambao huongea kama 'criole' yaani kipare-sambaa. Kuna wapare wa kahe ambao nao wanaongea kipare haraka haraka sana kiasi cha kuonekana kama lugha tofauti.

  Ndani ya jamii ya kipare kuna kikabila kinaitwa 'Wagweno'. Ukweli ni kuwa koo kama za washana, wasuya, wasangi wapo wagweno. Kigweno ni karibu saana na Kirombo hata jiografi inaonyesha ukaribu huo. Mgweno anaweza kuwasilina na Mrombo kwa urahisi sana kuliko Mrombo kuwasiliana na Mmachame!

  Lakini licha ya kuishi ndani ya kabila la Wapare, Wagweno wanasikia Kipare vizuri sana na hata kuwasiliana wakitaka. Kinyume chake mpare hasikii Kigweno! Ukweli unabaki kuwa Wagweno ni sub tribe ya Wapare ingawaje ni wakaidi kama Binamu zangu Wazanzibar. Yaani yale yale ya Wzbar kuhusu muungano, typical.

  Koo kubwa na maarufu za wapare bila mpangilio wowote
  Wasuya (hawa inasemekana na historia inathibitisha ni koo ya watawala)
  Washana(Hawa ni wafua vyuma, wahunzi a.k.a smith) kama mshana atataka jina mbdala, basi ni gold Smith au iron smith
  Wambaga(Wataalamu wa mvua lakini pia ni wazuri wa sayansi mbadala ya ungo)
  Wazirai( Hawa ni money makers kwa kutumia maneno, wengi ni ma-lawyer, wasiofikia viwango ni matapeli)
  Wasangi( Wafanya biashara na watawala)

  Koo zingine, wafinanga, wandeme, wagonja, Wawanga n.k


  King'ast hena mndu ekundie vubora vujewa, aiatangwa Habdavi !! shooko!

  Nini maana ya Nguruvi kwa makabila mbali mbali! next post
   
 19. Kifuniko

  Kifuniko Member

  #19
  Aug 24, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ikuruvi = jogoo
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nikundie kimbare kwnrikweri mira nithimanya kukiteta, nethikia ukimanya kugaya kimbare unegara kithungu nedho kerikweri, NIKWERI?
   
Loading...