Misemo ya kileo...

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
452
624
Hii ndiyo misemo utakayoisikia mitaani, luninga hata na kwenye radio..(Trending)..
  • Mimi kama mimi...
  • Mama kama mama..
  • Baba kama baba..
  • Askari kama askari..(Kwani hawawezi tu kusema kama askari n.k. n.k...)
  • Rais kama rais..
  • Hii sehemu imeharibika, kwanini?...(halafu anajijibu mwenyewe..!)
  • Sisi kama sisi...
  • Wewe kama wewe..
  • Hapa kazi tu..
  • Mwendokasi..
  • Bashite...
  • Veti feki...
  • Kutumbuliwa..
  • Majipu au jipu...
  • Fisadi..
  • Zuzu..
  • Mikataba..
  • ....
 
dushe
mchanga
bebi
tume
kamati
konteina
shiliwadu
Ruge
Cloudsfm
Sirro
mjeda
fala
mwongozo
wanyongwe
kitambulisho
misiba
feki
mbowe
kuzini
 
Back
Top Bottom