Misemo ya kichaga!

Tatizo hii lugha yetu haipo kwenye maandishi. Ni ngumu kuiandika kiasi unapotosha maana na utamu
 
ngikapa kapa rangi upepo baana! - Napiga piga rangi upepo tuuu!

Ambony tsa mpfiri mekwakwa? - Habari ya siku nyingi mzeiya?
 
Jamani tukiandika hebu tuandike na maana ili na wengine wafaidike, au mnaonaje?
 
ngikundi kuenengia shindo baana - Nataka kukupa vitu
 
chi Namtombe lulera Nangotombe au kchosinda kingotony mbee!
 
Sio tusi ila ni kiungo cha mwili tu, tena wa Binti au mwanamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom