Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Kwakuona jinsi utawala wake unavyo kosolewa ndipo mfalume kilevi" alipoamua kumwita kiongozi wawalinzi wake ajulikanae kwa jina la sifuri" naye mfalme akamuuliza huyo kiongozi jee nimfanye nini mtu huyu' nae akamjibu akisema huyu bwana tobo" dawa yake

nikumuondosha kwenye hii dunia, naye mfalme kilevi" akalifurahia wazo hilo kwakusema, hakika umenena vyema' jee hiyo kazi itafanyika lini maana huyu mtu anatishia ufalme wangu. Basi yule kiongozi akajibu akisema mtukufu mfalme hiyo kazi itafanyika kesho saa7:30 itakuwa tayali.

Basi bwana tobo akiwa hajui hili wala lile
Akitokea kwenye harakati zake zakumpinga mfalme
Huku akiwa Na farasi pamoja Na kijakazi wake
Akikaribia kwenye mji wake uliopo ndani mji wa sodoko, wakatokea wajakazi watano wa mfalme wakiwa Na farasi nawakaanza kumshambulia bwana tobo" kwa mikuki Na mapanga huku wakiamini kwamba wamesha muua bwana tobo" hivyo wale wajakazi wakatawanyika: kiduku12:32-45
 
...7: Nao viongozi wa chama kile walipokwisha kusemezana akatokea mmoja kati yao ambae ni mwenyekiti akasema, "Mtu huyu anatishia ustawi wa chama, basi na tumwue ili ufalme uwe wangu"

8: Watu wale wakastaajabia maneno ya mwenyekiti wa chama kile, ndipo mjumbe mmoja akauliza, "Litawezekanaje jambo hili"

9: Mwenyekiti akawaangalia wajumbe wale kwa zamu, kisha akasema, "Mtu huyu amekua na ugomvi na mfalme wa nchi hii, basi na tufanye upesi tumwue ili kesi apewe mfalme"

10:Nao wakisha kusikiliza maneno ya mwenyekiti, wakajaribu kumwua ila ikashindikana.

Mpango mkakati6:7-10
 
Basi na wale watumwa wake wakapiga makofi kumshangilia mfalume uishi milele lakini mioyo yao iliwasuta.(viwanda 5:10)
 
"Tazama! Hata kufika wakati mji wa neema kuandamwa na laana ya corona, mfalme akakataza habari kutangazwa kwa mataifa" Chato - 20:20
 
"TUSITISHANE!" - Chamwino 3:25
IMG_20200323_193741.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom