TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,075
Misemo yenyewe ni hii niliyobold red
Person1:Thank you for your help.
A) Person2: You are welcome.
Person1: I got A in Maths
B) Person2: Good for you.
Msemo A, nafikiri kumjibu hivyo person1, inamaanisha unataka aendelee kuwa na shida ili arudi tena umsaidie. Kwa nini usitafutwe msemo ambao utamwimiza person1 atafute njia mbadala ya kutatua shida/tatizo lake mwenyewe muda mwingine?
Msemo B, Ukimjibu person1, nafikiri unakuwa unaonyesha kutopendezewa kwake kupata hiyo A ktk maths. Kwa nini usitumike msemo wa I am happy for you.
Dokezo: kiingereza changu cha kuungaunga/sio cha kitaalamu.Hivyo wakati mnanisaidia kunifafanulia misemo hii zingatia hili dokezo.
Nawasilisha WanaJF wa lugha.