IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,045
- 5,621
Kumekua na misconception kuhusu sisi walaji wa chips mara wanasema sisi tuna flop sana kitandani wengine wanasema Dakika moja hatumalizi Hizi zote ni mbwembwe tu nakukosa hoja.
Kwanza kabisa hakuna facts zozote za kisayansi zinazosema chips zinafanya uflop kitandani mimi nina miaka mitatu ninakula chips na hakuna siku hata moja nimewahi kuflop my wife to be nishahidi Yangu.
Binafsi nakaa peke yangu na ni mvivu sana wa kupika nikitoka kazini jioni lazima nile chips kuku haiwezi pita siku sijala chips na nimelipia bili ya mwezi mzima pale ninapochukuulia chips kitandani am more than good ninamaliza hadi nusu saa.
Nyie wala dona hata dakika kumi hamufiki pia ni mtu wa mazoezi sana yani daily nafanya Mazoezi nimeamua niseme ili ku clear hii misconception yote
Chips haina uhusiano wowote ule na kuflop kwenye migegedo yenu
AM OUT