Misamiati ya utoto......!

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
Mama na wakubwa zangu walinisimulia enzi hizo nikiwa mdogo nilivokuwa nageuza misamiati;-
DOGORO- GODORO

SEMPELI- PENSELI

GLOO- DROO

PICHES- CHIPS

PUCHI- CHUPI

SHAMOO- SHIKAMOO

KIPOMBE- KIKOMBE

TANGO- ..........

Wewe je ulisimuliwa maneno gani uliyageuza?

nasafi= nafasi
jodoro=godoro
papaa=baba
bujibuji= mzuri/nzuri
pioko=pilipili hoho

Mama na wakubwa zangu walinisimulia enzi hizo nikiwa mdogo nilivokuwa nageuza misamiati;-

DOGORO- GODORO

SEMPELI- PENSELI

GLOO- DROO

PICHES- CHIPS

PUCHI- CHUPI

SHAMOO- SHIKAMOO

KIPOMBE- KIKOMBE

TANGO- ..........

Wewe je ulisimuliwa maneno gani uliyageuza?

Mimi chichemi!!!

mma-maji
****-tango
mkumaa-mshumaa
itobe-kikombe
chapumu-sabuni
mbuu-ubuyu
chiimu-ice cream
itobe-kikombe

nasafi= nafasi
jodoro=godoro
papaa=baba
bujibuji= mzuri/nzuri
pioko=pilipili hoho
Mi nimeambiwa kuwa nilipozaliwa tu nikasema kwa sauti ya ukali "Manesi wote tokeni nje, kama hamtoki basi leo ndio mwisho wenu" baada ya tukio hilo watu wote wakasambaratika, wenye uchungu wengine wakajifungulia juu ya miti

Similar Discussions

Back
Top Bottom