Mbona umekuja mbio.sana mkuu?nimewataja chadema,kwani wewe ni chadema?punguza mahaba kutaja chama tu umefyatuka!Hebu weka ushahidi hapa... Between kwenye mada yangu kuna mahali popote nimeitaja ccm? Au mnajistukia?
Siasa zetu zinazidi kupoteza hadhi zinazidi kujidhihiri namna zisivyo halisi zilizojaa uchimvi na Siasa za kutukuza na kusifu..! misamaha ya kisiasa si halisi bali ni makubaliano
Ni biashara
Ni maslahi
Ni viapo
Ni mikataba
na 50/50 win win situation.
Mara nyingi chochote kinachoenda hewani masikioni mwa wote ni matokeo tu..... makubaliano na maandalizi yalikwisha fanyika huko nyuma ya pazia!
kama kwenye vikao vya ndugu tu ama wanandoa hutengeneza utaratibu na makubaliano ya kuombana radhi basi wengine ni mfumo huohuo wanafuata.. .
Hakuna hata mmoja anakurupuka kutoka kwake na kuwasha gari moto kwenda moja kwa moja kumfuata anayemhitaji ili wamalizane bila kufanya mawasiliano kwanza labda iwe kumalizana kubaya na si kufanya patano ...
Misamaha ya kisiasa ni vigezo na masharti
Nipe nikupe
Umeshika makali nimeshika mpini
Nikubalie hiki upate hiki
Nikatalie hili ukose haya.
Misamaha ya kisiasa haikuanza jana au juzi ni ya muda mrefu lakini kamwe haikuwahi kutangazwa... hadhira iliona tu matokeo mifano ni mingi.... maji ya shingo, maji ya shingo maji ya shingo.
Mirija inapokatwa
Mabomba yanapozibwa
Connection zinapokatishwa
Betri zinapochomolewa waya
Na makaburi yenye uvundo yanapoanza kufukuliwa mzee huna jinsi utaomba Pooh! asikudanganye mtu wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Unafika mahali na kuchagua upande wenye maslahi binafsi zaidi!.
Ukiona nyani Mzee ujue kakwepa mishale mingi mshale utakaompata hautakiwa na madhara makubwa kwake, kwakuwa hana cha kupoteza tena Misamaha ni ya wavulana kwakuwa bado wanaota ndoto nyingi.... halisi na za kufikirika.
Lakini wamepigwa kelebu... kofi la aibu japo mwisho wa siku unaangalia unapata nini kwenye nini... ..
Mlevi mmoja alisikika akisema eti "Boss hanuniwi"
"Mmh chaa nitawaeleza ndio... Ilisikika sauti toka kwa mzee wa pembeni sijui msaidizi mganga au mpelelezi na kwa taarifa yako uongozi hupatii ng'o labda urudi kwenu ukavunje tunguli"Siasa zetu zinazidi kupoteza hadhi zinazidi kujidhihiri namna zisivyo halisi zilizojaa uchimvi na Siasa za kutukuza na kusifu..! misamaha ya kisiasa si halisi bali ni makubaliano
Ni biashara
Ni maslahi
Ni viapo
Ni mikataba
na 50/50 win win situation.
Mara nyingi chochote kinachoenda hewani masikioni mwa wote ni matokeo tu..... makubaliano na maandalizi yalikwisha fanyika huko nyuma ya pazia!
kama kwenye vikao vya ndugu tu ama wanandoa hutengeneza utaratibu na makubaliano ya kuombana radhi basi wengine ni mfumo huohuo wanafuata.. .
Hakuna hata mmoja anakurupuka kutoka kwake na kuwasha gari moto kwenda moja kwa moja kumfuata anayemhitaji ili wamalizane bila kufanya mawasiliano kwanza labda iwe kumalizana kubaya na si kufanya patano ...
Misamaha ya kisiasa ni vigezo na masharti
Nipe nikupe
Umeshika makali nimeshika mpini
Nikubalie hiki upate hiki
Nikatalie hili ukose haya.
Misamaha ya kisiasa haikuanza jana au juzi ni ya muda mrefu lakini kamwe haikuwahi kutangazwa... hadhira iliona tu matokeo mifano ni mingi.... maji ya shingo, maji ya shingo maji ya shingo.
Mirija inapokatwa
Mabomba yanapozibwa
Connection zinapokatishwa
Betri zinapochomolewa waya
Na makaburi yenye uvundo yanapoanza kufukuliwa mzee huna jinsi utaomba Pooh! asikudanganye mtu wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Unafika mahali na kuchagua upande wenye maslahi binafsi zaidi!.
Ukiona nyani Mzee ujue kakwepa mishale mingi mshale utakaompata hautakiwa na madhara makubwa kwake, kwakuwa hana cha kupoteza tena Misamaha ni ya wavulana kwakuwa bado wanaota ndoto nyingi.... halisi na za kufikirika.
Lakini wamepigwa kelebu... kofi la aibu japo mwisho wa siku unaangalia unapata nini kwenye nini... ..
Mlevi mmoja alisikika akisema eti "Boss hanuniwi"
Noma sana
Jamani tuwe wakweli , uingie ikulu usipigwe kamera kweli? Tena umeomba mwenyewe kumuona mkulu , wakuache tu , mbona sikuhizi nyumba zote za vibosile zinakamera, tena hata ukipita karibu ya ukuta tu unapigwa kamera, seuze ikulu? Bavicha bhana! Kila kitu kupinga.yaani nape alirekodiwa tangu anatingia getini lol .unakuja kuombwa msamaha unaita makamera
Mkuu,Siasa zetu zinazidi kupoteza hadhi zinazidi kujidhihiri namna zisivyo halisi zilizojaa uchimvi na Siasa za kutukuza na kusifu..! misamaha ya kisiasa si halisi bali ni makubaliano
Ni biashara
Ni maslahi
Ni viapo
Ni mikataba
na 50/50 win win situation.
Mara nyingi chochote kinachoenda hewani masikioni mwa wote ni matokeo tu..... makubaliano na maandalizi yalikwisha fanyika huko nyuma ya pazia!
kama kwenye vikao vya ndugu tu ama wanandoa hutengeneza utaratibu na makubaliano ya kuombana radhi basi wengine ni mfumo huohuo wanafuata.. .
Hakuna hata mmoja anakurupuka kutoka kwake na kuwasha gari moto kwenda moja kwa moja kumfuata anayemhitaji ili wamalizane bila kufanya mawasiliano kwanza labda iwe kumalizana kubaya na si kufanya patano ...
Misamaha ya kisiasa ni vigezo na masharti
Nipe nikupe
Umeshika makali nimeshika mpini
Nikubalie hiki upate hiki
Nikatalie hili ukose haya.
Misamaha ya kisiasa haikuanza jana au juzi ni ya muda mrefu lakini kamwe haikuwahi kutangazwa... hadhira iliona tu matokeo mifano ni mingi.... maji ya shingo, maji ya shingo maji ya shingo.
Mirija inapokatwa
Mabomba yanapozibwa
Connection zinapokatishwa
Betri zinapochomolewa waya
Na makaburi yenye uvundo yanapoanza kufukuliwa mzee huna jinsi utaomba Pooh! asikudanganye mtu wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Unafika mahali na kuchagua upande wenye maslahi binafsi zaidi!.
Ukiona nyani Mzee ujue kakwepa mishale mingi mshale utakaompata hautakiwa na madhara makubwa kwake, kwakuwa hana cha kupoteza tena Misamaha ni ya wavulana kwakuwa bado wanaota ndoto nyingi.... halisi na za kufikirika.
Lakini wamepigwa kelebu... kofi la aibu japo mwisho wa siku unaangalia unapata nini kwenye nini... ..
Mlevi mmoja alisikika akisema eti "Boss hanuniwi"
inahitaji akili kubwa sanq kukuelewa mpwaIko namna hii wadanganyika wengi bado maBwege nowdays watawala wamewabatiza majina mapya wanaitwa wanyonge Sasa kwakuwa uchaguzi umekaribia na hao waomba misamaha ina wajinga wengi wapiga kura kwa namna waomba misamaha walivyo mchana stono manake watu wa waomba misamaha hawatapigia kura stono na kama unavyojua hali ngumu aliyonayo muombwa msamaha kwenye sanduku la kura hana namna zaidi yakubaki mamlakani kwa kutumia dola sasa analazimisha misamaha angalau wajinga wa waomba misamaha waone Sasa wamepata na kura kwa stono naamini umeelewa sasa
Unajua ingekuwa ni "maigizo" tu isingekuwa shida hata kidogo.Awamu ya maigizo hii!!!
Tusi ni tusi haijalishi umeongea hadharani au chumbani. Sema kwa sababu yeye ndio ameshika mpini hamna mtu wa kumuuliza. Nchi ya kipuuzi kabisa hiiAliwaita akiwa anaongea na simu au hadharani?.
Mchawi ni Yule anayeongea mbele ya watu au Yule anayeteta katika maongezi ya kificho?.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alishatukana watu hadharani. Nani uliwahi kumsikia akirudisha tusi kwake?.Tusi ni tusi haijalishi umeongea hadharani au chumbani. Sema kwa sababu yeye ndio ameshika mpini hamna mtu wa kumuuliza. Nchi ya kipuuzi kabisa hii
ukiona nyumba yako inasambaratika lazima utumie njia yyte ile kuirudisha isimame, ni jambo la kawaida kusamehe, mbna cdm iliwasamehe Kube na Komu, uajabu unakuja pale ambapo mtu anafanya kinyume na ushabiki wetu kisiasa ndo maana tunaona maajabu.