Misamaha ya kisiasa Utamaduni mpya uliojaa ghiliba, uongo na usanii

Hakuna mwanasiasa mwenye uwezo wa kuyashinda matokeo ya kumnunia boss.

Boss hanuniwi
Lazima uombe Pooh
siluet-tangan-matahari-senja.jpg.pagespeed.ce.DkaH27gymX.jpeg
 
Hebu weka ushahidi hapa... Between kwenye mada yangu kuna mahali popote nimeitaja ccm? Au mnajistukia?
Mbona umekuja mbio.sana mkuu?nimewataja chadema,kwani wewe ni chadema?punguza mahaba kutaja chama tu umefyatuka!
 
sema kitu ambacho unajua watu hawawezi kutoka hadharani kukanusha kasha tibua timu nzima, spinning at its peak

Siasa zetu zinazidi kupoteza hadhi zinazidi kujidhihiri namna zisivyo halisi zilizojaa uchimvi na Siasa za kutukuza na kusifu..! misamaha ya kisiasa si halisi bali ni makubaliano
Ni biashara
Ni maslahi
Ni viapo
Ni mikataba
na 50/50 win win situation.

Mara nyingi chochote kinachoenda hewani masikioni mwa wote ni matokeo tu..... makubaliano na maandalizi yalikwisha fanyika huko nyuma ya pazia!
kama kwenye vikao vya ndugu tu ama wanandoa hutengeneza utaratibu na makubaliano ya kuombana radhi basi wengine ni mfumo huohuo wanafuata.. .

Hakuna hata mmoja anakurupuka kutoka kwake na kuwasha gari moto kwenda moja kwa moja kumfuata anayemhitaji ili wamalizane bila kufanya mawasiliano kwanza labda iwe kumalizana kubaya na si kufanya patano ...

Misamaha ya kisiasa ni vigezo na masharti
Nipe nikupe
Umeshika makali nimeshika mpini
Nikubalie hiki upate hiki
Nikatalie hili ukose haya.
Misamaha ya kisiasa haikuanza jana au juzi ni ya muda mrefu lakini kamwe haikuwahi kutangazwa... hadhira iliona tu matokeo mifano ni mingi.... maji ya shingo, maji ya shingo maji ya shingo.

Mirija inapokatwa
Mabomba yanapozibwa
Connection zinapokatishwa
Betri zinapochomolewa waya
Na makaburi yenye uvundo yanapoanza kufukuliwa mzee huna jinsi utaomba Pooh! asikudanganye mtu wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Unafika mahali na kuchagua upande wenye maslahi binafsi zaidi!.

Ukiona nyani Mzee ujue kakwepa mishale mingi mshale utakaompata hautakiwa na madhara makubwa kwake, kwakuwa hana cha kupoteza tena Misamaha ni ya wavulana kwakuwa bado wanaota ndoto nyingi.... halisi na za kufikirika.

Lakini wamepigwa kelebu... kofi la aibu japo mwisho wa siku unaangalia unapata nini kwenye nini... ..

Mlevi mmoja alisikika akisema eti "Boss hanuniwi"
 
Mbona umekuja mbio.sana mkuu?nimewataja chadema,kwani wewe ni chadema?punguza mahaba kutaja chama tu umefyatuka!
Mpaka sasa sijamtaja yoyote... Naona unaishi kwa hisia zaidi kuliko uhalisia
 
Siasa zetu zinazidi kupoteza hadhi zinazidi kujidhihiri namna zisivyo halisi zilizojaa uchimvi na Siasa za kutukuza na kusifu..! misamaha ya kisiasa si halisi bali ni makubaliano
Ni biashara
Ni maslahi
Ni viapo
Ni mikataba
na 50/50 win win situation.

Mara nyingi chochote kinachoenda hewani masikioni mwa wote ni matokeo tu..... makubaliano na maandalizi yalikwisha fanyika huko nyuma ya pazia!
kama kwenye vikao vya ndugu tu ama wanandoa hutengeneza utaratibu na makubaliano ya kuombana radhi basi wengine ni mfumo huohuo wanafuata.. .

Hakuna hata mmoja anakurupuka kutoka kwake na kuwasha gari moto kwenda moja kwa moja kumfuata anayemhitaji ili wamalizane bila kufanya mawasiliano kwanza labda iwe kumalizana kubaya na si kufanya patano ...

Misamaha ya kisiasa ni vigezo na masharti
Nipe nikupe
Umeshika makali nimeshika mpini
Nikubalie hiki upate hiki
Nikatalie hili ukose haya.
Misamaha ya kisiasa haikuanza jana au juzi ni ya muda mrefu lakini kamwe haikuwahi kutangazwa... hadhira iliona tu matokeo mifano ni mingi.... maji ya shingo, maji ya shingo maji ya shingo.

Mirija inapokatwa
Mabomba yanapozibwa
Connection zinapokatishwa
Betri zinapochomolewa waya
Na makaburi yenye uvundo yanapoanza kufukuliwa mzee huna jinsi utaomba Pooh! asikudanganye mtu wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Unafika mahali na kuchagua upande wenye maslahi binafsi zaidi!.

Ukiona nyani Mzee ujue kakwepa mishale mingi mshale utakaompata hautakiwa na madhara makubwa kwake, kwakuwa hana cha kupoteza tena Misamaha ni ya wavulana kwakuwa bado wanaota ndoto nyingi.... halisi na za kufikirika.

Lakini wamepigwa kelebu... kofi la aibu japo mwisho wa siku unaangalia unapata nini kwenye nini... ..

Mlevi mmoja alisikika akisema eti "Boss hanuniwi"
"Mmh chaa nitawaeleza ndio... Ilisikika sauti toka kwa mzee wa pembeni sijui msaidizi mganga au mpelelezi na kwa taarifa yako uongozi hupatii ng'o labda urudi kwenu ukavunje tunguli"

Sir Nature aka Kibla jina la adhana Juma Kasim Kiroboto.

Kinachoniumiza Mkuu mshana pamoja na kuujua ukweli huu uliounena hapa, bado tunaingia kichwa kichwa.

Kumbukizi ya matukio yanayogusa bandiko lako
1. Mzee wa kiraracha - Mrema CCM-NCCR MAGEUZI Kisha TLP

2. Lowasa - CCM-CHADEMA- CCM

3. Zitto CHADEMA-ACT WAZALENDO

4. Mwl Seif CUF- ACT

Liest goes on, lakini bado hatujifunzi
 
nina amini rais ajaye hatakuwa team jiwe,kama ilivyo jiwe kutokuwa timu jk na atawanyoosha sana hii timu magufuli mpaka akili itawakaa sawa kama wao wanavyowanyoosha wenzao.
Nalog off
 
yaani nape alirekodiwa tangu anatingia getini lol .unakuja kuombwa msamaha unaita makamera
Jamani tuwe wakweli , uingie ikulu usipigwe kamera kweli? Tena umeomba mwenyewe kumuona mkulu , wakuache tu , mbona sikuhizi nyumba zote za vibosile zinakamera, tena hata ukipita karibu ya ukuta tu unapigwa kamera, seuze ikulu? Bavicha bhana! Kila kitu kupinga.
 
Siasa zetu zinazidi kupoteza hadhi zinazidi kujidhihiri namna zisivyo halisi zilizojaa uchimvi na Siasa za kutukuza na kusifu..! misamaha ya kisiasa si halisi bali ni makubaliano
Ni biashara
Ni maslahi
Ni viapo
Ni mikataba
na 50/50 win win situation.

Mara nyingi chochote kinachoenda hewani masikioni mwa wote ni matokeo tu..... makubaliano na maandalizi yalikwisha fanyika huko nyuma ya pazia!
kama kwenye vikao vya ndugu tu ama wanandoa hutengeneza utaratibu na makubaliano ya kuombana radhi basi wengine ni mfumo huohuo wanafuata.. .

Hakuna hata mmoja anakurupuka kutoka kwake na kuwasha gari moto kwenda moja kwa moja kumfuata anayemhitaji ili wamalizane bila kufanya mawasiliano kwanza labda iwe kumalizana kubaya na si kufanya patano ...

Misamaha ya kisiasa ni vigezo na masharti
Nipe nikupe
Umeshika makali nimeshika mpini
Nikubalie hiki upate hiki
Nikatalie hili ukose haya.
Misamaha ya kisiasa haikuanza jana au juzi ni ya muda mrefu lakini kamwe haikuwahi kutangazwa... hadhira iliona tu matokeo mifano ni mingi.... maji ya shingo, maji ya shingo maji ya shingo.

Mirija inapokatwa
Mabomba yanapozibwa
Connection zinapokatishwa
Betri zinapochomolewa waya
Na makaburi yenye uvundo yanapoanza kufukuliwa mzee huna jinsi utaomba Pooh! asikudanganye mtu wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Unafika mahali na kuchagua upande wenye maslahi binafsi zaidi!.

Ukiona nyani Mzee ujue kakwepa mishale mingi mshale utakaompata hautakiwa na madhara makubwa kwake, kwakuwa hana cha kupoteza tena Misamaha ni ya wavulana kwakuwa bado wanaota ndoto nyingi.... halisi na za kufikirika.

Lakini wamepigwa kelebu... kofi la aibu japo mwisho wa siku unaangalia unapata nini kwenye nini... ..

Mlevi mmoja alisikika akisema eti "Boss hanuniwi"
Mkuu,
Uchaguzi umekaribia na inabidi tick tack nyingi zitengenezwe pamoja na wachezaji wazoefu kuwekwa karibu. Haaa! tangu siku nimesikia sauti za mabwana hawa wakimsema bwana mkubwa nilijua tu kuna chungu jikoni! Ni hivi kwa kiasi fulani mzee baba utukufu ulianza kushuka, sasa lazima tucheze game ili kuupaisha tena kabla siku za kuchaguliwa!
Tangu lini mambo ya kuombana radhi yakawa hadharani! Jamani hayo si yalipaswa yawe chumbani!
Hata hivyo...Watanzania sio wajinga sana... ha ha ah ha!
 
Iko namna hii wadanganyika wengi bado maBwege nowdays watawala wamewabatiza majina mapya wanaitwa wanyonge Sasa kwakuwa uchaguzi umekaribia na hao waomba misamaha ina wajinga wengi wapiga kura kwa namna waomba misamaha walivyo mchana stono manake watu wa waomba misamaha hawatapigia kura stono na kama unavyojua hali ngumu aliyonayo muombwa msamaha kwenye sanduku la kura hana namna zaidi yakubaki mamlakani kwa kutumia dola sasa analazimisha misamaha angalau wajinga wa waomba misamaha waone Sasa wamepata na kura kwa stono naamini umeelewa sasa
inahitaji akili kubwa sanq kukuelewa mpwa
 
Awamu ya maigizo hii!!!
Unajua ingekuwa ni "maigizo" tu isingekuwa shida hata kidogo.

Ukweli ni zaidi ya 'maigizo' wakati "maumivu" yanapoelekezwa kwa wapinzani na wengine wasiokubali 'maigizo.'

Hali hiyo ndiyo inayofanya utawala huu uwe mgumu sana.
 
Aliwaita akiwa anaongea na simu au hadharani?.

Mchawi ni Yule anayeongea mbele ya watu au Yule anayeteta katika maongezi ya kificho?.
Tusi ni tusi haijalishi umeongea hadharani au chumbani. Sema kwa sababu yeye ndio ameshika mpini hamna mtu wa kumuuliza. Nchi ya kipuuzi kabisa hii
 
nina amini rais ajaye hatakuwa team jiwe,kama ilivyo jiwe kutokuwa timu jk na atawanyoosha sana hii timu magufuli mpaka akili itawakaa sawa kama wao wanavyowanyoosha wenzao.
Nalog off
Sijui itakuwa mwaka gani!?
 
Tusi ni tusi haijalishi umeongea hadharani au chumbani. Sema kwa sababu yeye ndio ameshika mpini hamna mtu wa kumuuliza. Nchi ya kipuuzi kabisa hii
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alishatukana watu hadharani. Nani uliwahi kumsikia akirudisha tusi kwake?.

Marais wa Afrika inabidi uwavumilie na uzielewe taratibu zetu za kiuongozi.
 
Nchi yetu iko kwenye kipindi kigumu sana. Kila kukicha ni kukomoana tu hasa usupoimba mapambio ya kutubu na kusifu.
 
Hahaha...mshana noma, mama akianza kufikiria kutoka kula baga hadi kipande cha mhogo lazima mtifuano ndani ya familia utokee
 
ukiona nyumba yako inasambaratika lazima utumie njia yyte ile kuirudisha isimame, ni jambo la kawaida kusamehe, mbna cdm iliwasamehe Kube na Komu, uajabu unakuja pale ambapo mtu anafanya kinyume na ushabiki wetu kisiasa ndo maana tunaona maajabu.

Tofauti ni pale waliokosewa wanapoomba msamaha!
 
Back
Top Bottom