Misamaha anayoombwa Rais Magufuli na wale wanaokiri kuwa wamemkosea ina walakini

Watu waliotengeneza mifumo ambayo huja kuwaumiza baadae si wa kuwatetea.Check hata Hawa wa Sasa wanayo nafasi ya kutengeneza mfumo mzuri wa haki lkn nao wameweka pamba Kama walivofanya wanaolia Lia sasa.Maana kwa mfumo huu wanaoutumia kuumizia wenzao nao wajiandae nao kuumizwa siku mfumo ukiwatupa.
Ndo Yale yale ya dikteta mugabe eti anasapoti na kupigia kura upinzani eti ushinde kwa mfumo uleule aliouweka alipokuwa madarakani.
 
The dilemma of making a choice between a hard place and a rock might be inclusive of doing what we call, usanii!
Kwa Kanali wa ukweli kama yeye usanii ninaoupigia ramli hapa ni kuneutralize misukosuko ya jana, leo na baadae from WATESI wake ... the perception they have, kama akiendelea na msimamo wanaoujua wao. Ramli inaashiria Kanali keshanusu harufu flani isionufaisha afya. Kibiashara na mengineyo
 
Msiba keshakuwa kapi... Keshatumika hana maana tena.... View attachment 1469904

Jr
Mbwa akikuzoa sana atakupiga busu LA mdomo,badala ya kuombwa msamaha wa kashfa walizoporomoshewa na mawasiliano kudukuliwa kinyume cha sheria eti wao ndiyo wanaomba msamaha.Huku kuweweseka kiini chake ni ubinafsi na unafiki wa hali ya huu.
Hatudanganyiki,mnajiandaa kwa kampeni rasmi za uchaguzi wa October.
 
Nakubaliana nawe lakini tayari imeshakuwa habari kwa maana ya kwamba tayari kuna kitu kinaendelea chini kwa chini


Jr

Huu ndio ukweli ingawa ni mchungu lakini imefika wakati mgonjwa anywe dawa angalau ya kupoza maumivu
 
Back
Top Bottom