misafara ya Viongozi

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
Arusha mida hii sijui ni kiongozi gani anapita barabara ya kisongo hapa magari yamesimamishwa almost 30 minutes now na bado hajapita na wala haelekei kupita anytime soon,,hivi inamaana hawa police wa usalama barabarani huwa hawawasiliani ili kujua msafara upo wapi,?
Maana naona hapa tumesimamishwa tu bila sababu
 
Kagame huyo
 
Update: umepita msafara wa kwanza umetokea mjini kuelekea kisongo na sasa twausubiria msafara mwingine utokee kisongo urudi mjini nadhan ni dakika 45 tushasimama hapa hakuna gari linapita zaidi ya gari za polisi
 
Nadhani Ni viongozi WA Serikali na Dini mbalimbali ndio wametoka kwenye ibada ya maadhimisho ya miaka hamsini st Theresa wanaondoka
 
Mimi pia ni muathirika wa jam hiyo. Nimekwama over 40min mahali.
Utaratibu unaotumika kuongoza misafara hii ni wa hovyo sana, na ndiyo maana viongozi wetu wengi wanachukiwa na raia.
 
Nadhani Ni viongozi WA Serikali na Dini mbalimbali ndio wametoka kwenye ibada ya maadhimisho ya miaka hamsini st Theresa wanaondoka
Broda,
Ni miaka 50 ya kuanzishwa kwa Jimbo KATOLIKI la Arusha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom