Misafara ya viongozi ni hasara kwa taifa maskini kama Tanzania

Utahitaji Chopa si chini ya kumi kuhakikisha rais anakuwa covered sawa sawa! Bado tuna kumbuka kilichotokea kwa marais wa Rwanda na Burundi wakati wa vurugu za kikabila.

Hata hivyo, siungi mkono msafara mrefu namna hiyo kama unatumiwa mara nyingi kwa mwezi katika eneo moja.
Kama misafara ingekuwa ni kigezo cha usalama wa viongozi Magufuli angeishi milele
 
Utahitaji Chopa si chini ya kumi kuhakikisha rais anakuwa covered sawa sawa! Bado tuna kumbuka kilichotokea kwa marais wa Rwanda na Burundi wakati wa vurugu za kikabila.

Hata hivyo, siungi mkono msafara mrefu namna hiyo kama unatumiwa mara nyingi kwa mwezi katika eneo moja.
Biden anapanda helicopter moja akiwa anaenda uwanja ilipo air Force one
 
Nchi za kiafrika serikal zake zna matumiz makubwa kuliko hata nchi za ulaya
 
Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.

Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike usafiri wa chopa ili kutupunguzia bughdha hii?

Kulia namwona Diblo Dibala ndani ya vest kilauri mkononi:

IMG_20211119_091739_123.jpg


Aijulie wapi hasara huyo?

"Kwanza serikali huwa haipati hasara." Aliwahi kutamka jiwe hadharani na bila aibu.

Habari ndiyo hiyo.
 
Biden anapanda helicopter moja akiwa anaenda uwanja ilipo air Force one
Hivi si ni ninyi mlituzuia tusifananishe viwango vya ufanyaji kazi huko US na Tanzania ingawa mnataka demokrasia ifanane na ya US?

Nikija kwenye hoja yako. Kwa US kutumia chopa moja inaweza kuwa sawa kutokana na mfumo wao wa kiulinzi ukizingatia teknolojia waliyonayo. Unaweza kukuta...anga analopitia siku hiyo, hata kunguru hakatizi njia maana ulinzi uananzia angani, ardhini, na majini kwa msaada wa NASA/Pentago. Na monitoring ya chopa ya Joe inakuwa in real time tena kwakutumia masafa ya 5G.

Sasa sisi huku, TMO wakianza kututaadharisha habari za hali ya hewa tunaanza kubishana nao! Wakati huo huo, mtandao wetu maeneo mengi 3G inapatikana kwa manati!! Hiyo monitoring ya chopa na anga anapopita rais wetu mpendwa tutaifanya kwa ufanisi kweli?
 
Tulisimamishwa Tegeta magari yote pembeni na Polisi wakali wanafoka kama umegombana nao. Walimwagwa askari na bunduki wengine wana machine guns za 1930s zile zenye magazine za mviringo Bagamoyo Road yote . Wote tumeufyata pembeni ya barabara tunashangaa magari ya msafara na ving'ora yanapita mbio kwa 100 KM/HR. Yote ni mbwembwe kuonyesha mabavu na nguvu za Mamlaka kwa Wananachi wanaojifanya kuwaongoza. This is completely unnecessary kwa kweli. Kumbe kuna strategic roads wamezitanua ili waweze kupita mbio na misafara yao na siyo kwa faida ya Wananchi wa kawaida.
 
Tulisimamishwa Tegeta magari yote pembeni na Polisi wakali wanafoka kama umegombana nao. Walimwagwa askari na bunduki wengine wana machine guns za 1930s zile zenye magazine za mviringo Bagamoyo Road yote . Wote tumeufyata pembeni ya barabara tunashangaa magari ya msafara na ving'ora yanapita mbio kwa 100 KM/HR. Yote ni mbwembwe kuonyesha mabavu na nguvu ya Mamlaka.
Haaaaa hizo machine gun zilishindwa kumkill virus 19
 
Back
Top Bottom