Misafara ya Bawacha yatikisa, ni ile ya kuelekea Iringa kwenye kilele cha Siku ya Wanawake Duniani

Watapinga kwamba hakuna misafara kuelekea Iringa,wanatia huruma.Kupinga mikakati inayopangwa na wabobezi kama CDM lazima uwehuke maana wanamimina mipango chanya kama Join the Chain,A Million Challenge,na sasa Mwenyekiti yupo HURU moto unawaka kila kona.
Ukiwa upande wa HAKI hautateseka moyoni bali utajizatiti kuwa na hekima na uvumilivu zaidi.
hawatakubali hata kama wanaiona
 
Kwa hiyo hapo ndio Nchi inatikisika? 😄😄.

Shida ya Chadomo ni kuishi kwa hisia na kujifariji na likes za mitandaoni.

Wenzenu wanatatua changamoto za moja kwa moja za Wananchi nyie mnapiga selfie.
CCM haina uwezo wa kutatua changamoto, yenye uwezo ni serikali kupitia kodi tunazolipa wananchi wote bila kubaguliwa.
 
Ikumbukwe kwamba ile Taasisi bora ya wakina Mama kwa sasa Barani Africa inayoitwa BAWACHA, inaadhimisha SIKU YA WANAWAKE DUNIANI mkoani Iringa, hapo ndio walipoamua kulifanya jambo hili.

Sasa habari kubwa ni jinsi barabara kutoka mikoa yote ya Tanzania zilivyochafuka Mabasi yaliyobeba Wamama wa Chadema, Hamasa ni kubwa mno! Hakika haya mambo yanashangaza sana.

Maneno matupu hayavunji mfupa, jioneeni wenyewe.

View attachment 2142214
View attachment 2142215

Hapa chinii ni Komandoo Mohamed Ling'wenya akiwa na Mke wake na wamama wengine akiwaaga wakielekea Iringa.

View attachment 2142233
Mungu ibariki CHADEMA!
 
Wachawi kutoka lumumba hii kitu inawauma Sana...nchi nzima ni misafara tu ya chadema...
giphy.gif
 
Kwa hiyo mimama yenye vitambi kupanda kosta na mabasi ya elfu 15 ndio mtikise nchi. Kweli MaCHADEMA wajinga. Haya wapelekeeni na kinga huko maana mamama ya MaCHADEMA yanajulikana Kwa uchu.
 
Kwa hiyo mimama yenye vitambi kupanda kosta na mabasi ya elfu 15 ndio mtikise nchi. Kweli MaCHADEMA wajinga. Haya wapelekeeni na kinga huko maana mamama ya MaCHADEMA yanajulikana Kwa uchu.
kweli nimeamini jina husadifu akili. 😴😴😴😴
 
Hapo kamati roho mbaya inamlaumu mama kwa nini anaachia watu wanafanya mambo kwa uhuru namna hii.
 
Kwa hiyo mimama yenye vitambi kupanda kosta na mabasi ya elfu 15 ndio mtikise nchi. Kweli MaCHADEMA wajinga. Haya wapelekeeni na kinga huko maana mamama ya MaCHADEMA yanajulikana Kwa uchu.
Kweli wewe ni fisi,maana sii kwa uhalo huu
 
Kwa hiyo mimama yenye vitambi kupanda kosta na mabasi ya elfu 15 ndio mtikise nchi. Kweli MaCHADEMA wajinga. Haya wapelekeeni na kinga huko maana mamama ya MaCHADEMA yanajulikana Kwa uchu.
Umeandika yaliyojaza moyo wako maana mpumbavu hunena kadri ya upumbavu wake.
 
Kwa hiyo mimama yenye vitambi kupanda kosta na mabasi ya elfu 15 ndio mtikise nchi. Kweli MaCHADEMA wajinga. Haya wapelekeeni na kinga huko maana mamama ya MaCHADEMA yanajulikana Kwa uchu.
Thank God na Mama yako Ni mwana Bawacha na yuko Iringa now
 
Back
Top Bottom